Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
WAZIRI MKUU AMEZUIA MAPATO KUKOPESHWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezuia mapato ya mwezi Aprili, Mei na Juni ya Halmashauri zote nchini kutokopeshwa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, mpaka pale utakapoandaliwa utaratibu mzuri.
WAZIRI MKUU AZUNGUMZIA UVUMI WA BAADHI YA NCHI KUFUNGA BALOZI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa azungumzia ‘uvumi’ wa baadhi ya nchi kufunga balozi zao nchini Tanzania…ukiwemo Ubalozi wa Denmark. “…niwahakikishie kwamba mazungumzo bado yanaendele ili kufikia hatua nzuri…”