Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 13 Aprili 28, 2025 Dodoma

My Take
Nawakumbusha tuu kwamba watu wafuatilie na Watoe maoni ya mambo ya msingi uanayohusu maisha ambayo ndio yanajadiliwa huko Bungeni Kwa Sasa.

Msije kutoa vilio ikifika July utekelezaji ukianza.

Kesi za kina Lisu,mpira wa Yanga na Simba havitaongeza chochote kwenye maisha Yako sana sana ni kupoteza mda.

View: https://www.instagram.com/p/DI9_FlVs7Un/?igsh=aG8yeGxiMWQ3Zjd0

Wenzetu Wakenya huw wako makini.sana na issues
 
Bunge lipi hilo ? The Corrupt CCM?
Sijawahi kusikiliza; kwa sababu halina maana.
Nitamuuliza CAG mwakani
 
My Take
Nawakumbusha tuu kwamba watu wafuatilie na Watoe maoni ya mambo ya msingi uanayohusu maisha ambayo ndio yanajadiliwa huko Bungeni Kwa Sasa.

Msije kutoa vilio ikifika July utekelezaji ukianza.

Kesi za kina Lisu,mpira wa Yanga na Simba havitaongeza chochote kwenye maisha Yako sana sana ni kupoteza mda.

View: https://www.instagram.com/p/DI9_FlVs7Un/?igsh=aG8yeGxiMWQ3Zjd0

Wenzetu Wakenya huw wako makini.sana na issues

Vp manara hajaalikwa na mke wake mpya huko

Ova
 
My Take
Nawakumbusha tuu kwamba watu wafuatilie na Watoe maoni ya mambo ya msingi uanayohusu maisha ambayo ndio yanajadiliwa huko Bungeni Kwa Sasa.

Msije kutoa vilio ikifika July utekelezaji ukianza.

Kesi za kina Lisu,mpira wa Yanga na Simba havitaongeza chochote kwenye maisha Yako sana sana ni kupoteza mda.

View: https://www.instagram.com/p/DI9_FlVs7Un/?igsh=aG8yeGxiMWQ3Zjd0

Wenzetu Wakenya huw wako makini.sana na issues

Nchi hii Fake sana, yaani tangu tarehe 24/April/2025 naona hata aibu kujiita Mtanzania.
The Dogs have taken it, Nyerere alisema kweli!!!!!!!!! Haki ya Mungu naapa
 
Ndio Bunge la Magufuli, alilitengeneza liwe hivyo ili yeye apitishe budget zake na wapwa zake ikulu bila usumbufu, ndio maana Reli, barabara na Stand zilioteshwa bila purukushani, jeje Mama bado anahitaji bunge la hivi ? Maana kama CDM wamejitoa kwenye uchaguzi, bunge ndio hilo hilo kitakachotokea na vikumbo vya CCM wao kwa wao kama kina Gambo 🙌🇹🇿
 
Bunge halifuatiliwi kabisa watu washawaona wabunge ni genge la wezi lisilokuwa na faida yeyote kwenye taifa
 
My Take
Nawakumbusha tuu kwamba watu wafuatilie na Watoe maoni ya mambo ya msingi uanayohusu maisha ambayo ndio yanajadiliwa huko Bungeni Kwa Sasa.

Msije kutoa vilio ikifika July utekelezaji ukianza.

Kesi za kina Lisu,mpira wa Yanga na Simba havitaongeza chochote kwenye maisha Yako sana sana ni kupoteza mda.

Wenzetu Wakenya huw wako makini.sana na issues
Nchi ishakuwa mkondo wa uchuuzi, Kodi na tozo.
Si ajabu kwenye mapendekezo ya Bajeti wakabuni kodi na tozo mpya jumlisha zilizopo!
Alafu kuna tofauti kubwa sana kati ya Kenya na Tanganyika... Wakenya ni tofauti sana na makini zaidi kuliko Watanganyika!
Kule Tanganyika sera, bajeti na mikakati inatungwa na watu kukitokea mkwamo kwenye utekelezaji wanamwachia MUNGU in the name of AMANI!
Kenya mikwamo ikiletwa na watu wananchi wanashinikiza uwajibikaji!
 
Back
Top Bottom