Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Endelea kujadili na kufuatilia upuuzi wa kina Lisu,July sio mbali.Tanzania kuna Bunge?
Tusipotezeana muda.
Bunge lipi hilo ? The Corrupt CCM?My Take
Nawakumbusha tuu kwamba watu wafuatilie na Watoe maoni ya mambo ya msingi uanayohusu maisha ambayo ndio yanajadiliwa huko Bungeni Kwa Sasa.
Msije kutoa vilio ikifika July utekelezaji ukianza.
Kesi za kina Lisu,mpira wa Yanga na Simba havitaongeza chochote kwenye maisha Yako sana sana ni kupoteza mda.
View: https://www.instagram.com/p/DI9_FlVs7Un/?igsh=aG8yeGxiMWQ3Zjd0
Wenzetu Wakenya huw wako makini.sana na issues
Vp manara hajaalikwa na mke wake mpya hukoMy Take
Nawakumbusha tuu kwamba watu wafuatilie na Watoe maoni ya mambo ya msingi uanayohusu maisha ambayo ndio yanajadiliwa huko Bungeni Kwa Sasa.
Msije kutoa vilio ikifika July utekelezaji ukianza.
Kesi za kina Lisu,mpira wa Yanga na Simba havitaongeza chochote kwenye maisha Yako sana sana ni kupoteza mda.
View: https://www.instagram.com/p/DI9_FlVs7Un/?igsh=aG8yeGxiMWQ3Zjd0
Wenzetu Wakenya huw wako makini.sana na issues
Nchi hii Fake sana, yaani tangu tarehe 24/April/2025 naona hata aibu kujiita Mtanzania.My Take
Nawakumbusha tuu kwamba watu wafuatilie na Watoe maoni ya mambo ya msingi uanayohusu maisha ambayo ndio yanajadiliwa huko Bungeni Kwa Sasa.
Msije kutoa vilio ikifika July utekelezaji ukianza.
Kesi za kina Lisu,mpira wa Yanga na Simba havitaongeza chochote kwenye maisha Yako sana sana ni kupoteza mda.
View: https://www.instagram.com/p/DI9_FlVs7Un/?igsh=aG8yeGxiMWQ3Zjd0
Wenzetu Wakenya huw wako makini.sana na issues
Acha mzaha. Kenya wenzenu?My Take

Kuna kikundi cha wambeaTanzania kuna Bunge?
Tusipotezeana muda.
Nchi ishakuwa mkondo wa uchuuzi, Kodi na tozo.My Take