Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 22, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa.
Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itawasilishwa mezani.
Ujinga ni Tanzania pekee Dunia mzima ndio unakuta Bunge linakutana kujadili bajeti ya Matundu ya vyoo mara makalavati na kadhalika. na wajinga tunashangilia