Bunge la 12 : Mkutano wa 9 Kikao cha 5 ni aibu - why viti ni vitupu, wabunge ni watoro?

Bunge la 12 : Mkutano wa 9 Kikao cha 5 ni aibu - why viti ni vitupu, wabunge ni watoro?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Team, Hi!
Bunge letu linaendelea lkn kinachonishangaza ni hiki - kwa nini vitu katika ukumbi wa mikutano vinaonekana vitupu?
(a). Wabunge wanadoji vikao?

(b). Wabunge wengi wana kazi za nje ya bunge kipindi hiki cha vikao vya bunge?

(c). Posho za vikao kwa wabunge hao zinalipwa kwao au zinarudishwa serikali kuu kwa ajili ya kutekeleza shughuli zingine?

(d). Wananchi wana uwezo wa kuriwajibisha Bunge juu ya wabunge watoro?

Ngaika ndenda!
 
Back
Top Bottom