Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
sijuiAU ambako kiswahili kinaruhusiwa wanafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijuiAU ambako kiswahili kinaruhusiwa wanafanyaje?
Kuna vifaa vya kutafsiri, eac tumejaa wote wapigaji, ukizingatia bunge lenyewe liko Tz!sijui
Acha fujo kijana, nipe acc no yakoHaya yooote kaleta DP -Bandari
Hasa kabwana Husein Bashe,ndo zake sijui kanadhan watu wa singida wanakaelewa kanavyoleta ujuaji wa kingereza bungeniHata sisi ambao ndio wenyeji wa lugha hiyo na ambayo mataifa mengi duniani wameikubali bado wenyewe hatutoi mfano kuizungumza kwa usahihi.
Akisimama mbunge hata mshamba mshamba aliyeingia bungeni kwa wizi wa kura basi atajidai kuchomekea maneno tele ya kiiengereza kama kwamba hakuna maneno yake kwa Kiswahili.
Magufuli alipokwenda Afrika kusini na kuwatia hamasa watumie Kiswahili bado mwenyewe alikuwa akizungumza kiengereza.