Bunge la Afrika Mashariki lakataa kutumia Kiswahili kwenye mijadala yake

Hasa kabwana Husein Bashe,ndo zake sijui kanadhan watu wa singida wanakaelewa kanavyoleta ujuaji wa kingereza bungeni
 
Kwani Kiingereza kikiwa lugha ya kufundishia mashuleni ndo kiswahili kitakufa? Mbona nchi kibao wanatumia kiingereza kama lugha rasmi ya kiofisi lakini bado wana lugha zao local? Hakuna mtoto wa msomi, mfanyabiashara, mwanasiasa au kiongozi mkubwa wa dini anayesoma St Kayumba. Wote hao wanasomesha watoto wao kwenye shule zinazotumia kiingereza. Kwahiyo ukisema uwasikilize hizo propaganda zao itakula kwako na familia yako. Hakikisha mwanao anajuwa kiingereza fluent ikiwezekana na kifaransa
 
Collonial mentallity tu na kutopenda vya kwetu ns ushamba....mtu achape kiswahili watranslate kwa kiingereza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…