Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

Chadema ni kama mwanamke mjamzito akifanyiwa zuri kwake karaha akifanyiwa baya ndio tabu! Sasa mnataka Serikali ipuuze kila linalosemwa na Upinzani!
mtu toka mkoa wa Mara hawezi kuongea upuuzi kama huu,wewe hilo siyo jina,kwa jins ulivyotukana unaonekana ww wa Busoga,Bagamoyo,au karibu na maeneo hayo.
 
Basi Chadema wapewe nchi watumalizie kukomesha Ufisadi naona kwa hili CCM wamefeli, Chadema ichukuwe nchi sasa ili mikataba ya kijinga ikomeshwa na mafisadi kama chenge Nimrod, Lowassa na Rostam wakanye debe.
 
Matrafiki wapewa ulaji"makosa barabarani"faini yake imepandishwa kutoka Elfu ishirini hadi Elfu hamsini.
 
Naijua mkuu na ndio maana nimewapongeza kwa ku copy na ku paste, kama wewe unajua kazi nyingine zaidi tujuze maana wewe ni muelewa zaidi ndugu...
kazi ipo. Hata kazi ya upinzani katika serikali hujui. Sehemu mojawapo ni kuikosoa na kuishauri serikali. Hata wanafunzi huotea maswali na hatimaye kusema walijua mtihani utakuwaje. Matatizo ya nchi hata mtoto mdogo anajua. Chadema inachofanya inatoa pointi kwa ccm. Hilo bado hawajashitukia. Ukitoa mbinu ya mchezo wako na adui yako akawai kuutumia nani atapoteza game.
 
Maslahi kwa watumishi wa Umma imeachwa hewani hawajabainisha hata Mshahara kima cha chini wataongeza asilimia ngapi
 
Chadema ni kama mwanamke mjamzito akifanyiwa zuri kwake karaha akifanyiwa baya ndio tabu! Sasa mnataka Serikali ipuuze kila linalosemwa na Upinzani!

sio kosa lako marwa aka murhaa tatizo ulipozaliwa ULIGEUKA NYUMA KUTAZAMA ULIPOTOKA,nandipo mama yako alpokupa laana au ultupwa choon? Shame on u.
Viva CDM
 
Matrafiki wapewa ulaji"makosa barabarani"faini yake imepandishwa kutoka Elfu ishirini hadi Elfu hamsini.

ibra, mi naona iyo poa, cz itafanya watu wawe na discpline, we unasemaje mkuu?
 
Matrafiki wapewa ulaji"makosa barabarani"faini yake imepandishwa kutoka Elfu ishirini hadi Elfu hamsini.
Si watatuua na hivi sheria za barabarani haziko wazi kwa watumia barabara kazi tunayo
 
Hakuna Marwa mwenye akili kama huyu jamaa maana ni mmoja kati ya wale ambao bado wanaamini nyerere yuko hai na ni rais
mtu toka mkoa wa Mara hawezi kuongea upuuzi kama huu,wewe hilo siyo jina,kwa jins ulivyotukana unaonekana ww wa Busoga,Bagamoyo,au karibu na maeneo hayo.
 
Wana JF mnaofuatilia bunge sasa ivi mmemsikia waziri wa fedha anavosoma budget..? anasema serekali itapunguza safari za viongozi njee na ndani ya nchi, watapunguza msafara na msururu wa wapambe kwenye safari ambazo ni za lazima, watapunguza posho za viongozi zisizo lazima etc, sasa kwanini usikubali chadema ndio inaongoza nchi hii..? afadhali magamba mmekubali mapungufu yenu na kuchukua ushauri wa wataalam wa uchumi wa chadema

Politiki NOT reality!!!
 
Maslahi kwa watumishi wa Umma imeachwa hewani hawajabainisha hata Mshahara kima cha chini wataongeza asilimia ngapi

Ila umeongezwa au? Maana mh! Tumechoka mishahara haikutanu!
 
Chadema ni kama mwanamke mjamzito akifanyiwa zuri kwake karaha akifanyiwa baya ndio tabu! Sasa mnataka Serikali ipuuze kila linalosemwa na Upinzani!

sio kosa lako marwa tatizo ulipozaliwa uligeuka nyuma kutazama ulipotoka na ndipo ulpopata laana ya mama yako ndiyo maana unaweza kumkashifu mbele ya uwa wa jf. Viva CDM
 
Mshahara haujaongezwa. Ila kuna national pay day(kuckulia dirishani mshahara). Itakuwa suprise, ucpokuwepo ck hyo imekula kwako unahesabika mtumishi hewa.
 
Wenye Express/Daladala wengi watapaki lasivyo rushwa itazidi maradufu iwapo Hesabu ya siku Haisi ni Elfu 50 afu kosa moja tu faini yake Elfu 50 hawa watu wataendesha biashara kweli!!na haiwezekani haic kutofanya makosa.Wabunge wapinge hili kwa nguvu zote.
 
nawapongeza chadema kwa kutoa bajeti in advance...... ni learning tool
 
Back
Top Bottom