johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mungu ni mwema hatimaye bunge la Ndugai linafikia tamati kwa utulivu na amani.
Lakini mkutano huu wa bunge la bajeti utaacha historia ya aina yake.
Mosi, wabunge watatu mashuhuri wamefariki wakati bunge likiendelea na vikao vyake.
Pili, Wabunge wa Chadema wakiwa ndani ya bunge wametangaza kuhamia CCM na kupokelewa na mjumbe wa kamati kuu ndugu Job Ndugai.
Tatu, KUB amejeruhiwa katika mazingira tatanishi na hadi sasa haijawa wazi kama " alikanyagwa kanyagwa" kama polisi walivyosema au alianguka kwa ulevi kama Spika na baadhi ya wabunge wanavyoamini.
Nne, Mawaziri wawili Ummy Mwalimu na Dr. Mpango wametangaza nia ya kuwania ubunge na kutaja majimbo husika huku wabunge wa majimbo hayo wakiwakodolea mimacho ya Hapa Kazi Tu.
Nawatakia Ijumaa yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!