Bunge la bajeti lilikuwa kama kikao cha CCM, Ndugai kawapokea Lijualikali na Silinde huku Dr. Mpango na Ummy wakitangaza nia

Kwani matanga ya Taifa nae anataka kupewa kinga? Vipi mtoto wa dada?
 
Na ni bunge ambalo Spika amewahakikishia wabunge kuwa kila mtu atarudi na cheo chake alicho nacho sasa na "watamlazimisha" Magufuli aongeze muda wa urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…