Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Bunge la 12 maana yake ni la awamu ya 12 tangu lianzishwe. Kila kipindi Cha miaka 5 ni awamu moja.mkutano ni wa 19 ila bunge ni la 12...
Taarifa ya Bunge kuanza imetolewa leo ila ratiba kamili haijapangwa hadi kesho😳😭
Nachanganyikiwa aisee
Hamna jipya hapo.Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge la Kumi na Mbili unatarajiwa kuanza Jumanne, tarehe 8 Aprili 2025, ukiwa na lengo kuu la kujadili na kuidhinisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Bunge leo, Aprili 7, 2025, ratiba kamili ya shughuli za Mkutano huo itatangazwa kesho mara baada ya kikao cha Kamati ya Uongozi, na itapatikana kupitia Tovuti rasmi ya Bunge.
Unaelewa lakini maana ya kikao cha 19 Bunge la 12?mkutano ni wa 19 ila bunge ni la 12...
Taarifa ya Bunge kuanza imetolewa leo ila ratiba kamili haijapangwa hadi kesho😳😭
Nachanganyikiwa aisee