Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Kuna unayemshabikia kwamba alikuletea dini wakati naye alikuwa ni shoga vilevile.

kumbe umemsahau aliyekamatwa na kijana akiwauchi huku kaweka chupi begani kule kwenye vichaka vya bustani ya Gesthemane
 
Bora wao kuliko nyinyi mwanamke mpaka anaolewa ameisha lala na wanaume IDADI YAO haijuilikani
Leo hii theluthi mbili ya mabinti wa kiarabu hufanya ngono kinyume cha maumbile ili kulinda ubikra hawawezi kulinda matakwa ya utamaduni wao.
 
Hiyo inchi ni aibu Kwa uso wa Dunia,Sheria gani hizo? yaani miaka 15 ya mwanzo Bado wanaona ni miaka michache?
 
Kichekesho ni kuna watu wanatetea hii 😂
 
Wewe unaweza kuruhusu Binti yako wa Umri huo akaolewa??

Ndoa zenyewe hizi ambazo Mume anaweza kumtaliki Mkewe hata baada ya kumharibia maisha yake
 
Usikimbie swali Je uislamu unaruhusu mtoto wa kike wa miaka 9 kuolewa?
 
Hakika

Tamaa na uroho mbaya sana!
Dodo hata halijaiva?! Hata halina utamu?! Chachu kama shubiri?!
Ukatili wa ajabu kabisa!
Hakika hawa ni makafiri NETANYAU UNA KAZI YA KUSAFISHA HIKI KIZAZI CHA WAPINGA KRISTU YESU AKUJALIE NA KUKUTIA NGUVU
 
Usikimbie swali Je uislamu unaruhusu mtoto wa kike wa miaka 9 kuolewa?
Nimeisha jibu huko nyuma rudia hi mada utaona.

Swali wapi kuna sheria ya kislam inasema waozeshe binti ana miaka 9 mmezitolea wapi. Huyo bi Aisha kila kukicha mnazua uwongo na dalili hamna mara mseme miaka 6 mara 9 humuoni njia za waongo ni fupi.
 
Nimeisha jibu huko nyuma rudia hi mada utaona.

Swali wapi kuna sheria ya kislam inasema waozeshe binti ana miaka 9 mmezitolea wapi. Huyo bi Aisha kila kukicha mnazua uwongo na dalili hamna .ara mseme miaka 6 mara 9 humuoni njia za waongo ni fupi.
We dini umeletewa tu unakaza fuvu wenzio waloishi nayo mamia ya miaka wanataka kuvitafuna vitoto vya miaka 9 maana wanafuata mafundisho na kuishi alivyoishi mtume.
Mtume alikatafuna katoto kaduchu ndo maana wairaq na wao wanataka wahalalishe kabisaa kitu kipo bungeni
Halafu hata nyie waislamu wa bongo kuoa chini ya 18 si halali kwenu? si mmekuwa mkipambania hilo?
 
Sa mbona unakwepa swali langu. Wapi kuna sheria ya kislam inasema vi binti miaka 9 violewe? Lazima ufahamu kuna vitu viwili tofouti kubaleghe una umri miaka 9 sio wasichana wate wanabaleghe wakiwa miaka 9.

Sa ukubwa wa mwanamke ni umri au akiwa amebaleghe. Kuna visicha vingine mpaa miaka 15 bado havija baleghe

Sa swali ni moja wapi kuna sheria ya dini inasema binti akifika miaka 18 lazima aolewe? Au chini ya miaka 18 hafai kuolewa. Hio ya miaka 18 mmeitolea wapi? UK au. Wewe bibi yako aliolewa chini ya miaka 13 kamulize mama yako atakuambia.
 
Mtume wako muhammad SAW akiwa na miaka 53 alioa Aisha kitoto kina miaka sita tu Mtume kakibaka subhanahu wa ta'ala!!!. Wewe ungeruhusu mtoto wako wa miaka 6 aolewe na mtume? Ndo maana waislamu wenzio wairaq wanataka kuvibaka vitoto vyao pindi vikifika miaka miaka 9 tu maaana wanataka kuishi jinsi mtume wako alivyoishi.
 
Mara 6 mara 9 njia za uwongo fupi sana.

Vipi kuhusu Joseph kaposa akiwa ana miaka 72 na mama yake Yesu ana umri wa miaka 5 naona huwa mnalikacha.
 
Jibu swali wewe ungeruhusu mwanao wa miaka 6 aolewe na mtume?
Ningeruhusu hata kama bado yuko tumboni kama Mtume anamtaka, sababu ningejua ni ni Mungu kaniletea kheri binti yangu kuolewa na Mtume Muhammad.

Mbona Marry mama yake Yesu alikubali kuzaa na bado ni bikira.

We unaweza kuzaa bado uko bikira?
 
Sasa huo ubakaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…