Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Tamaa na uroho mbaya sana!
Dodo hata halijaiva?! Hata halina utamu?! Chachu kama shubiri?!
Ukatili wa ajabu kabisa!
 
Iranian and Iraq Regimes are cursed.
 
"Education is the most powerful weapon which you can use to change the world"

"Nelson Mandela"


Haya ndio madhara ya kuona madrasa ndio elimu kubwa wanayotakiwa kupata.

Na bado watapunguza tena maana kwenye sekta hii wamewekeza sana duniani na ahera (bikra 72)
 
Muongozo unaofatwa ni Sharia Law ambayo ni mkusanyiko wa sheria kadhaa za dini.🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🏃🏿
 
Israel inatusaidia sana
Mie naangalia tatizo culturally, ukiingiza mambo ya Israel that becomes political. Siko huko kwa uelewa wa misimamo ya watu umu na sensitivity ya dini zao pamoja na siasa Middle East.

Morally, culture tends to evolve overtime. Dunia ya leo watu wazima kupitisha sheria inayo halalisha mtu mzima kuoa mtoto wa miaka tisa is beyond. Hili sio swala la Iraq ni swala la dunia kupinga hii abuse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…