Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

kuna imani nyingine unajiuliza kama mtoto angeachwa akakua na kufikia umri wa miaka 18+ bila kushurutishwa alafu akapewa kitabu cha dini akakisoma na kukielewa kila kitu, lazima angehoji vitu vya msingi na wenye dini yao wangekasirika na kuondoka na kitabu chao
 
Kwani dini inasemaje kuhusu kuoa mtoto wa miaka 9?!
Dini inasema mtoto wa kike akisha baleghe anafaa kuolewa wako wana baleghe miaka 9 wengine 13 wengine 18 kwa hio umri hauhusiku na kuolewa kinacho husika ni binti kuwa baleghe

Kuna lingine.

Oops hivi mama yake Yesu unajua aliposwa ana umri gani? Na alizaa ana umri gani najua wazi utaingia mtini 😄
 
 
Nijukumu la mzaz kumlinda mtoto sasa kwa nn wanataka kuwaozesha wadogo?
Huo hizo ni akili za kishetan
Je wewe upo tayari kumuozesha mwanao wa miaka 9?

Mkiitwa wahuni mnalialia ndiyo maana marekan anawanyoosha maana wamezidi ujinga
Mimi siozeshi binti yangu hata awe ana miaka 59 kama hataki kuolewa au hata miaka 80 au maisha yake yote huo ni ushauri wake yeye sio wangu.

America ni nani wewe bwege kwanza aondoe ujinga wa baba ku rape mabinti zake huko US au Europe kabla ya kuja kuwafundisha waislam lipi zuri na lipi baya.


Nyie wakristo wengi wenu mnarape ma binti zenu mkisha piga konyagi au pombe. Afu unasikia tu yule jirani ka rape binti zake afu jumapili anaenda nao kanisani kuimba kwaya haha afu mchezo unaendela kama kawaida.
 
Ungetoa na mfano halisi wa waliobaka na kubakwa.
 
Kweli akili hakuna kabisa, yani single digit age!!!
 
Sijui shost Faiza analizungumziaje hili
 
Kwa kuwa mabinti wanatofautiana umri wa kubalehe, angalau Sheria iseme Binti akibalehe ni ruhusa kuolewa. Lakini kusema miaka 9 jua ubakaji utatokea.
Isitoshe Biblia haisemi Maria alichumbiwa akiwa na umri Gani. Umri itakaotajwa ni assumptions tu kwa kuzingatia Hali ya mashariki ya Kati. Hivyo hakuna jibu.
 
Biblia hsijahusishwa kwenye hayo mambo ya Iraq.Jikite kwenye Qura'an.
 
Mbona zamani huko kwa wasukuma watu walikuwa wanaoa mimba!! Wanatoa magari kabisa ikitokea akazaliwa wa kiume basi anakuwa rafiki. Anapozaliwa mtoto wa kike anakuwa mke wa jamaa lakini atasubiri mpaka anapokuwa mtu mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…