Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Mbona zamani huko kwa wasukuma watu walikuwa wanaoa mimba!! Wanatoa magari kabisa ikitokea akazaliwa wa kiume basi anakuwa rafiki. Anapozaliwa mtoto wa kike anakuwa mke wa jamaa lakini atasubiri mpaka anapokuwa mtu mzima
Kama anasubiri awe mtu mzima sawa ila sio under 18
 

Udenda unakutoka kabisa kuona mtoto wa 9 years? Wa miaka 18 tu wengine hatumtaki sababu bado ni mdogo kimwili na kiakili. Badilikeni ndugu.
 
Mwandishi hujui kingereza au umeamua kupotisha.

Kwa mujibu wa maelezo ya kingereza. Sheria ya sasa ni miaka 18. Bali wanataka kupunguza hadi miaka 15.

Maoni yangu binafsi. Naunga mkono. Hata hivyo naendelea kysisitiza, ndoa isiwe sababu ya wenye ndoa kuacha masomo. Bali waendelee wakiwa wameoana. Waendelee kusoma wakiwa bado wanaendelea kuishi kwa wazazi wao.
 
This is very bad!
Maternal mortality is going to increase dramatically.
 
Mnaosema uislam unaendekeza ngono huwa mnafuatilia ripoti na tafiti mbalimbali hapa hapa Tanzania kuhusu mikoa na makabila yanayo practice ndoa za utotoni?

Mikoa inayoendekeza mila potofu dhidi ya mwanamke / mabinti wala huwezi kukuta mikoa kama Tanga, Dar, Pwani, Lindi nkadhalika ambayo idadi kubwa ya wakaazi/ wenyeji wa mikoa hiyo ni waislam.
 
Serikali ya Iraq imepunguza umri wa mtoto wa kike kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Kuoa mtoto wa Miaka 9 nchini Iraq ni ruhusa

Una mtazamo gani kuhusu hili ?
Wanaelekea kuwa na Full Sharia Law Country kama Iran...
 
Hivi mtoto wa miaka 9 uume unaingia?

Inatakiwa tuelewe kwanza mambo ya kibaiolojia kabla ya kulaumu au kuunga mkono.

Kaka yangu Kiranga ningependa maoni yako kwenye hili.
Hao majamaa ni wazuri sana kwenye hizo tafiti. You can't prove them wrong kwenye hilo eneo.
 
Ni sad day kwa watoto wa kike

Lakini Kama hawa watoto ndio tunaowafanyia unyama Halafu jamii ikawa poa na kutumia kauli
 
Mi nashauri watu wasomeshwe dini zote mbili halafu akifika miaka 18 mtu achague dini anayoona inamfaa.
Mie nimefanya hivyo kwa baadhi ya madogo

Siku tutakapoambua dini ni fasihi…. Tutakua tumestaarabika sana
 
Sasa mtoto wa miaka 9 tayari amevunja ungo?!
 
Hawa jamaa wanapenda tutoto sasa hapo unatongozaje katoto s wasubir tu bikira zao 72
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…