Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Hujui kwamba iraq pia kuna wakristo au kwako kila mzungu padri
Na hujui kwamba israel kuna waislamu wenhi kuliko wakristo
child marriages are customary for a certain religion. Infact it is a feature not a bug
 
Kuhusu hiyo sheria ..mimi siwezi kusema ni mbaya kwa sababu je duniani hakujawai kuwa na maisha bila ya tamko la kisheria la upi umri wa kuoa au kuolewa ...kitu cha msingi ni kutokumlazimisha mtu kuolewa au kuoa. Hivyo hiyo sheria itambue ndoa bila ya shuruti ya muoaji na muolewaji basi haina shida.
 
Sharia law ni kitu gani ?
Kondoo walio potea tabu sana watu wanasoma bibilia wanayo soma hawaielewi wakaelewe uislam 😄

Wanadhani Iraq hakuna wskristo kwenye hio serekali, pili hio ni sheria wana discuss bado inaweza ikapitishwa au isipitishwe. Mfano imepitishwa ndio wa Iraq watalazmishwa kuozesha mabinti zao. Watu wanao abudu binadamu wakasema Mungu akili zao unadhani ziko sawa.
 
We una akili sio hao waimba kwaya.
 
We una akili sio hao waimba kwaya.
Sema walicho kosea ni kimoja wangesema baada ya msichana kuvunja ungo ...kama ni miaka 10 au 11 au 12 nk basi anaweza kuolewa kwa ihali ...maana hata kidini kuvunja ungo ni mpaka uliowekwa wa mtoto kuwa katika hatua sahihi ya kuanzisha familia
 
Bila Wazungu Dunia ingekuwa kituko.
Kuna kituko kikubwa zaidi ya kuruhusu ndoa zamapenzi ya jinsia moja toka kwa hao wazungu
Mfano tu hapo kwako una wanao wawili ester na emanuel akaja mwamba anataka aoe mtoto wako mmoja utampa yupi amuoe
Angalizo wote wawe na miaka 9
 
Sasa si bora hao walosema waoelewe watoto wakike
Ila nyie makanisani munashadadia wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake kuoana hata uchafu hamuoni
Kua mkristo unatakiwa uwe na upungufu wa akili
 
Siungi mkono kinachoendelea iraq hapana
Ila abuse mmeiona hii inayoendelea huko tu
Kuna abuse ngapi kama kweli wapenda haki zinatakiwa zipigiwe kelele
Huo unafiq wenu utaisha lini ?
 
Hakuna jamii moja moja kwa ukatili
Hata waswahili kila leo kuna kesi za hivi tena kuna washenzi ambao wanabaka watoto wao au wajomba
Ukatili hauna matabaka kila sehemu upo
Si juzi tu hapa mtandaoni imesambaa video chafu majamaa saba sijui mangapi yanambaka mtoto
Inasemekana yule dogo ana miaka 17 kwasheria zao yule ni mtoto
Inasemekana lile tukio limetokea dodoma
Muulize dodoma ni mji wa taifa lipi la kiarabu pale mashariki ya kati?
 
Huko katika bahari ya hindi maeneo yanayopatikana huko
Kuanzia somalia kenya mpaka tanzania huko uwanda wa pwani ndio uwanda ambao umestaarabika kuliko sehemu nyengine yeyeote ile
Kama umefika mombasa dar lamu zanzibar mtwara tanga na lindi yote haya utaweza kuyajua
Narudia tena kanda ya bahari ndio sehemu staarabika kuliko yote hapo afrika mashariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…