Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Kwani yule mtume wao alioa mke wake mdogo akiwa na umri gani sasa kwa nini mnawashangaa hao wakati hao wanachotaka kufanya ni marudio tu.

Kwa utamaduni wa kiarabu hilo ni jambo la kawaida sana kwa sababu kwanza hao watoto wa kike kwa jamii hiyo sio watu wa kuthaminika kabisa kwani wanatumiwa kama "sex objects" tu.

Ndio maana Afrika tunatakiwa tuzikatae hizi tamaduni potofu kwani ni tishio kwa tamaduni zetu ambazo haziruhusu huo ubakaji.
 
Si juzi tu hapa mtandaoni imesambaa video chafu majamaa saba sijui mangapi yanambaka mtoto
Inasemekana yule dogo ana miaka 17 kwasheria zao yule ni mtoto
Inasemekana lile tukio limetokea dodoma
Muulize dodoma ni mji wa taifa lipi la kiarabu pale mashariki ya kati?
Tena wana uhayawani zaidi ya hayawani mwenyewe
Halafu wanasema yupo mahali salama

Kila leo wanabakwa na wengine wako kimya tena na wazazi au ndugu wa karibu
 
Kwani yule mtume wao alioa mke wake mdogo akiwa na umri gani sasa kwa nini mnawashangaa hao wakati hao wanachotaka kufanya ni marudio tu.

Kwa utamaduni wa kiarabu hilo ni jambo la kawaida sana kwa sababu kwanza hao watoto wa kike kwa jamii hiyo sio watu wa kuthaminika kabisa kwani wanatumiwa kama "sex objects" tu.

Ndio maana Afrika tunatakiwa tuzikatae hizi tamaduni potufu kwani ni tishio kwa tamaduni zetu ambazo haziruhusu huo ubakaji.
Ndio mlivyodanganywa huko jumaapili?
Kati ya waislam na wasio waislam nani wanamtumia mwanamke
Waislam wanamsamini mwanamke nandio maama wamempa status yapekee ila makafiri mkaona anapata mkapitisha ujahilia wenu dhidi ya mwanamke na wanawake
 
Tena wana uhayawani zaidi ya hayawani mwenyewe
Halafu wanasema yupo mahali salama

Kila leo wanabakwa na wengine wako kimya tena na wazazi au ndugu wa karibu
Kabisa wana ushenzi mpaka shetani anawashangaa
Shida watu wamejawa na chuki wakati fact zinaonekana dunia yaleo ipo wazi
Sio kama miaka ileeeee
 
Ukiristo na kubaka umekujaje. Tetea dini lako la kikatili. Umeona kanisan akifingishwa ndoa mtoto wa 9yrs au makanisa yakiunga mkono hilo. Acha uzwazwa hakuna din hapo
Makanisani wamezidi laana na dhambi
Wao wanafungisha ndoa za machoko na wasagaji sasa
Kwao ndio fakhari hiii na ndio haki za binaadam
 
Huko katika bahari ya hindi maeneo yanayopatikana huko
Kuanzia somalia kenya mpaka tanzania huko uwanda wa pwani ndio uwanda ambao umestaarabika kuliko sehemu nyengine yeyeote ile
Kama umefika mombasa dar lamu zanzibar mtwara tanga na lindi yote haya utaweza kuyajua
Narudia tena kanda ya bahari ndio sehemu staarabika kuliko yote hapo afrika mashariki
Unaongea nini wewe ?
 
Kabisa wana ushenzi mpaka shetani anawashangaa
Shida watu wamejawa na chuki wakati fact zinaonekana dunia yaleo ipo wazi
Sio kama miaka ileeeee
Dunia imeharibika sana na kila mmoja anajua ila wapo wanaojitoa ufahamu
Wewe fikiria kuna vijana wanakataa ndoa mpanga na nyimbo zinatungwa
Sasa huwa najiuliza hao vijana wanataka waolewe wao kwa kushindwa maisha ya kulea?
 
Inasikitisha sana kwakweli
 
Sasa si bora hao walosema waoelewe watoto wakike
Ila nyie makanisani munashadadia wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake kuoana hata uchafu hamuoni
Kua mkristo unatakiwa uwe na upungufu wa akili

Ngono mmeweka kipaumbele sana ninyi wana wa mudi.

Wake wanne hamjatosheka saivi mmehamia kwenye ubakaji kisa mudi alipiga mkuyenge mtoto mdg?

Unaweza ukaozesha mtoto wa miaka tisa hata awe mdg au mtoto wako?

Kusema hii sheria ni bora ni kipimo sahihi cha kuamini kuwa ninyi Elimu mnaipiga vita na bongo zenu zinaimani kuwa elimu ni haramu.
 
Hujawahi kuona?
Nna mtoto wa rafiki yangu anaitwa Neema kavunja ungo ana miaka 8 sijui tisa
Mwisho:- hata mtoto avunje ungo ana miaka 20 ndoa ni makubaliano baina yake na anaetaka kumuoa
Huyo mtoto wa miaka 9 anafahamu ndoa ni nini, acheni ujinga wa kuabudu tamaduni za kigeni hata pale zinapohalalisha uovu.

Wakati wazungu wanapofagilia ushoga tunapinga kwa sababu ni uovu usiokubalika na ndio maana hata huu ubakaji watoto unaotaka kuhalalishwa na hao waarabu wenye kujitambua na tusiopenda unafiki ni lazima tuupinge tu.
 
Ngono mmeweka kipaumbele sana ninyi wana wa mudi.

Wake wanne hamjatosheka saivi mmehamia kwenye ubakaji kisa mudi alipiga mkuyenge mtoto mdg?

Unaweza ukaozesha mtoto wa miaka tisa hata awe mdg au mtoto wako?

Kusema hii sheria ni bora ni kipimo sahihi cha kuamini kuwa ninyi Elimu mnaipiga vita na bongo zenu zinaimani kuwa elimu ni haramu.
Mkiambiwa kanisani mnaenda kupiga kelele hamuelewi
Uislamu unajua ubora wa elimu kuliko dini yeyelote hile iwayo nandio maana hata aya ya Qur an yakwanza kabisa kuja kwa S.A.W akaambiwa asome kuonesha ukubwa na umuhimu wa elimu
Kuhusiana na ndoa mie sio awe na miaka 9 hata awe na miaka 50 ziswezi kumlazmisha kuozeshwa ama kuolewa
Akiamua kuolewa maadam kaamua mwenyewe ataolewa sio kwa kumlazmisha
Na akigoma kuolewa haijalishi ana miaka mingapi haolewi
Mwisho:-ndoa ni makubaliano ya hiyari baina ya muolewaji (ke) na muowaji(Me)
Nimesisitiza Muolewaji(Ke) na Muoaji (Me) sababu tumeona kuna ndoa za kijinga zinapigiwa debe na kufungishwa makanisani baina ya ke na ke na me na me mwenzie
 
Huyo mtoto wa miaka 9 anafahamu ndoa ni nini, acheni ujinga wa kuabudu tamaduni za kigeni hata pale zinapohalalisha uovu.

Wakati wazungu wanapofagilia ushoga tunapinga kwa sababu ni uovu usiokubalika na ndio maana hata huu ubakaji watoto unaotaka kuhalalishwa na hao waarabu wenye kujitambua na tusiopenda unafiki ni lazima tuupinge tu.
Msilolitambua suala la kuolewa wakiwa na umri huo wala sionwaarabu
Fuatilia historia watu washaolewa sana na miaka hio nahawakua na nasaba zozote zile na uarabu
Fuatilia historia za hao machifu uje na majibu hapa
Mwisho ndoa anaweza akaolewa mtu wa miaka 30 na asielewe ndoa ninini ndoa sio tu kuhusiana na tendo la ndoa
 
Huyo mtoto wa miaka 9 anafahamu ndoa ni nini, acheni ujinga wa kuabudu tamaduni za kigeni hata pale zinapohalalisha uovu.

Wakati wazungu wanapofagilia ushoga tunapinga kwa sababu ni uovu usiokubalika na ndio maana hata huu ubakaji watoto unaotaka kuhalalishwa na hao waarabu wenye kujitambua na tusiopenda unafiki ni lazima tuupinge tu.
Ushoga umeupinga wapi ? Mbona kila siku Unashabikia mashoga Mayahudi?
 
Hii dini ya allah ina mafundisho ya kibangibangi sana.
 
Mkiambiwa kanisani mnaenda kupiga kelele hamuelewi
Uislamu unajua ubora wa elimu kuliko dini yeyelote hile iwayo nandio maana hata aya ya Qur an yakwanza kabisa kuja kwa S.A.W akaambiwa asome kuonesha ukubwa na umuhimu wa elimu
Kuhusiana na ndoa mie sio awe na miaka 9 hata awe na miaka 50 ziswezi kumlazmisha kuozeshwa ama kuolewa
Akiamua kuolewa maadam kaamua mwenyewe ataolewa sio kwa kumlazmisha
Na akigoma kuolewa haijalishi ana miaka mingapi haolewi
Mwisho:-ndoa ni makubaliano ya hiyari baina ya muolewaji (ke) na muowaji(Me)
Nimesisitiza Muolewaji(Ke) na Muoaji (Me) sababu tumeona kuna ndoa za kijinga zinapigiwa debe na kufungishwa makanisani baina ya ke na ke na me na me mwenzie

Ww ni mtumwa wa fikra na hakuna unachojua.

Mtoto miaka tisa unamwacha aamue yeye suala nyeti kama hilo?

Yaani umri huo ukimkuta na mbaba unajua yupo kutafuta mchumba?

Dini zinawaharibu sana ubongo.
 
Back
Top Bottom