Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna akili wwIkiwa uko timamu huwezi fikiria kuwa 9 anaweza kuwa amevunja sijui nini
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.
Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.
Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.
View attachment 3211076
Hapana siyo ubakaji; ubakaji huwa hauko hivi. Ni UUAJI!!Jamani...mbona huu ni ubakaji
Waislamu wa Yombo basi yataiga na yenyewe..!!
Hao watu ni wapumbavu miili yao inawaka tamaa za ngono tu..!! Mtoto wa miaka 9 hata via vya uzazi havijakomaa 😥
Propaganda ni kitu kibaya sana😭😭😭 maskini malaika wadogo ndoto zao ndio zimezikwa rasmi
Kwa mujibu wa Imani yao na mabandiko ya vitabu vyao si ubakaji sasa plus kama na kisheria si kosa watavititipua tu vitoto vidogo.Duuh Sasa hapo inakuwa ni ubakaji yaani kupitia Dini wanahalalisha ubakaji
Then utuulize na sisi tusioamini katika Imani hizo za kipuuzi za kuletwa na Wazungu na Waarabu.NAULIZA . Katika dini ya kikristo umri wa kuoa na kuolewa ni miaka mingapi?! Ukijibu uweke na andiko! Ninavyofahamu habari ya kuolewa na kuoa kuanzia mika 18 tumeletewa na wakoloni.
Sasa nauliza wakristo inatakiwa uwe na miaka mingapi ndio uoe au uolewe? Pomoja na andiko tafadhali!.
You proved what I said without saying itHauna akili ww
Hapo mwenyewe unaona ipo sawa? Mtoto wako wa miaka 9 anakuja kulelewa na watu wengine ili aje avuliwe nguo na libaba jitu zima lenye midevu kama brush ya chachandu, na je ni umri gani mtoto huyo akifika ataanza kuvuliwa nguo na hilo zee? maana kishaolewa tayari,Mnachotakiwa ni kuuliza na si kuanza lawama Islam hajibu kwa vile anaelewa nini kinaendelaa hata ninyi msijitoe fahamu zamani watoto (bibi zetu) walikuwa wanaolewa.wadogo sana hata hapa hapa Tanzania. Ni kwamba yule mtoto anakwenda lelewa na wazazi wa mume hadi atakapofikia umri unaostahili kuolewa ndio anapewa mume wake na katapata huduma.zote Kama mtoto na kwamba katacheza na wenzake Kama kawaida, ila watajaribu kukaweka karibu na mhusika ili aweze kumzoea mf. jamaa akiwa anarudi nyumbani watamwambia akampokee ni ile kumuweka karibu hapo anakuwa amefanywa nini kibaya? Tena kanalala na.mama mkwe maana ni katoto au na wenzake na nyumbani kanakwenda ila hakalali huko na si mara kwa mara. Kabla hamjaamza.kashfa zenu na kuamzisha nyuzi za kurukana.viongozi wa dini ambazo sio zenu mngejaribu kuchunguza, pia ustaarabu.uchukue nafasi yake
Ni ajabu sana mkuu watu wakilala wakiamka wanawaza nyuchi za toddler mpaka wameunda sheria ya kuzirarua ktk umri 9yrs. Acha mzungu aendelee kuburuza race nyingine.Hapo mwenyewe unaona ipo sawa? Mtoto wako wa miaka 9 anakuja kulelewa na watu wengine ili aje avuliwe nguo na libaba jitu zima lenye midevu kama brush ya chachandu, na je ni umri gani mtoto huyo akifika ataanza kuvuliwa nguo na hilo zee? maana kishaolewa tayari,
Vipi kuhusu masomo?
Vipi kuhusu utoto wake?
Wanaume!!!🤮🚮
Propaganda ni kitu kibaya sana
"Iraqi law currently sets 18 as the minimum age of marriage in most cases. The changes passed Tuesday would let clerics rule according to their interpretation of Islamic law, which people are feared that, some may interpret to allow marriage of girls in their early teens – or as young as 9"
The session ended in chaos and accusations of procedural violations.
“Half of the lawmakers present in the session did not vote, which broke the legal quorum,” a parliamentary official said on condition of anonymity because he was not authorized to comment publicly. He said that some members protested loudly and others climbed onto the parliamentary podium.
Kwa nini watu watafsiri kwamba sheria imepitishwa kuoa miaka 9?
9 years bongo anakua darasa la 3 au la 4 si ndio, aah bado wadogo sana bado wanapiga tick makamasi!
View attachment 3210378
===
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.
Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.
Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.
Pia, Soma:
• Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9
• Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa
Acha Siasa Babu, Lugha wote tumesoma hata utafute dictionary ya wapi iyo Sheria IPO wazi kabisa. Tafuta sources zozote unazojua weweKuna upotoshaji hapa kwa kuwa wanao shabikia wote ni mrengo mwingine
UNA ELEWA LUGHA YA MALKIA????
"Iraqi law currently sets 18 as the minimum age of marriage in most cases. The changes passed Tuesday would let clerics rule according to their interpretation of Islamic law, which people are feared that, some may interpret to allow marriage of girls in their early teens – or as young as 9"
Kwa nini watu watafsiri kwamba sheria imepitishwa kuoa miaka 9?