naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Ya ajabu kwa asiyeijua, hata Mimi naushanga upande wa pili hawaoi ila shughuli mbadala zinaemdelea Kama kawaida kwa hiyo hakuna kipya chini ya juaAshakum sinmatusi uislamu ni dini ya ajabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya ajabu kwa asiyeijua, hata Mimi naushanga upande wa pili hawaoi ila shughuli mbadala zinaemdelea Kama kawaida kwa hiyo hakuna kipya chini ya juaAshakum sinmatusi uislamu ni dini ya ajabu sana
Kati ya hiyo na wanaohalalisha mapenzi ya jinsia moja kipi kina nafuu?View attachment 3210378Si mnataka maendeleo na haki hapo mashariki ya kati. Si mnapendelea kutetea watoto wanaonewa wa mashariki ya kati.
Anzisheni nyuzi basi au muingie mtaani kufanya maandamano maana sidhani nyie binafsi mtataka binti zenu wa miaka 9 kuolewa.
Au hadi Liwe bunge la Israel ndio lifanye hivyo ndio iwe makosa na uoenevu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Double standard
TakbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirrrrMnachotakiwa ni kuuliza na si kuanza lawama Islam hajibu kwa vile anaelewa nini kinaendelaa hata ninyi msijitoe fahamu zamani watoto (bibi zetu) walikuwa wanaolewa.wadogo sana hata hapa hapa Tanzania. Ni kwamba yule mtoto anakwenda lelewa na wazazi wa mume hadi atakapofikia umri unaostahili kuolewa ndio anapewa mume wake na katapata huduma.zote Kama mtoto na kwamba katacheza na wenzake Kama kawaida, ila watajaribu kukaweka karibu na mhusika ili aweze kumzoea mf. jamaa akiwa anarudi nyumbani watamwambia akampokee ni ile kumuweka karibu hapo anakuwa amefanywa nini kibaya? Tena kanalala na.mama mkwe maana ni katoto au na wenzake na nyumbani kanakwenda ila hakalali huko na si mara kwa mara. Kabla hamjaamza.kashfa zenu na kuamzisha nyuzi za kurukana.viongozi wa dini ambazo sio zenu mngejaribu kuchunguza, pia ustaarabu.uchukue nafasi yake
Anayewapatia Bin Adam ustahimilivu ni AllahPoint yako hapo ni nini, allah anahusika vipi hapo
WTFBunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.
View attachment 3210421
Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.
Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.
Pia, Soma:
• Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9
• Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa
==
Iraqi MPs and women’s rights groups have reacted with horror to the Iraqi parliament passing a law permitting children as young as nine years old to marry, with activists saying it will “legalise child rape”.
Under the new law, which was agreed yesterday, religious authorities have been given the power to decide on family affairs, including marriage, divorce and the care of children. It abolishes a previous ban on the marriage of children under the age of 18 in place since the 1950s.
“We have reached the end of women’s rights and the end of children’s rights in Iraq,” said the lawyer Mohammed Juma, one of the most prominent opponents of the law.
The Iraqi journalist Saja Hashim said: “The fact that clerics have the upper hand in deciding the fate of women is terrifying. I fear everything that will come in my life as a woman.”
Activists said they feared the law would now also be applied retroactively to cases filed in courts before it was enacted, affecting rights to alimony and custody.
Raya Faiq, spokesperson for the feminist group Coalition 188, said: “We received an audio recording of a woman crying her eyes out because of the passage of this law, with her husband threatening to take her daughter away unless she gives up her rights to financial support.”
Child marriage has been a longstanding issue in Iraq, where 28% of girls were married before they turned 18, a 2023 UN survey found.
While marriage is presented to some underage girls as a chance to escape poverty, many of the marriages end in failure, bringing lifelong consequences for young women, including social shame and a lack of opportunities because of unfinished schooling.
Source: theguardian.com
😹😹😹 Hao waarabu ni watu wa hovyo kuwahi kutokea, ngono kwao ni kipaumbele na shimo lolote wao wanatumbukia..!!Hahahaha 😂 daaah 🙌🏾🙌🏾,,ndo waamue kua wakatili kwa watoto kisa kukwepa mashimo.
Tuishie hapa😂😂😂😂ingawa tuna mengi ya kusema😹😹😹 Hao waarabu ni watu wa hovyo kuwahi kutokea, ngono kwao ni kipaumbele na shimo lolote wao wanatumbukia..!!
Mtu zimevurugwa hatari ubakaji inje injeBunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.
View attachment 3210421
Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.
Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.
Pia, Soma:
• Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9
• Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa
==
Iraqi MPs and women’s rights groups have reacted with horror to the Iraqi parliament passing a law permitting children as young as nine years old to marry, with activists saying it will “legalise child rape”.
Under the new law, which was agreed yesterday, religious authorities have been given the power to decide on family affairs, including marriage, divorce and the care of children. It abolishes a previous ban on the marriage of children under the age of 18 in place since the 1950s.
“We have reached the end of women’s rights and the end of children’s rights in Iraq,” said the lawyer Mohammed Juma, one of the most prominent opponents of the law.
The Iraqi journalist Saja Hashim said: “The fact that clerics have the upper hand in deciding the fate of women is terrifying. I fear everything that will come in my life as a woman.”
Activists said they feared the law would now also be applied retroactively to cases filed in courts before it was enacted, affecting rights to alimony and custody.
Raya Faiq, spokesperson for the feminist group Coalition 188, said: “We received an audio recording of a woman crying her eyes out because of the passage of this law, with her husband threatening to take her daughter away unless she gives up her rights to financial support.”
Child marriage has been a longstanding issue in Iraq, where 28% of girls were married before they turned 18, a 2023 UN survey found.
While marriage is presented to some underage girls as a chance to escape poverty, many of the marriages end in failure, bringing lifelong consequences for young women, including social shame and a lack of opportunities because of unfinished schooling.
Source: theguardian.com
Mtu zimevurugwa hatari ubakaji injeBunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.

Yani ungekuwa karibu ningekurapua kofi nikuue, na nisingejuta kwa mpuuzi na mfia dini kama ww.Palepale inapotoka ya above 18? Kwahiyo Muhammad alikosea kumuoa Aysha?
Nyie Makafiri washamba sana
Kwani hawa wanatofauti na hawa wetu wanaobakwa!Mnachotakiwa ni kuuliza na si kuanza lawama Islam hajibu kwa vile anaelewa nini kinaendelaa hata ninyi msijitoe fahamu zamani watoto (bibi zetu) walikuwa wanaolewa.wadogo sana hata hapa hapa Tanzania. Ni kwamba yule mtoto anakwenda lelewa na wazazi wa mume hadi atakapofikia umri unaostahili kuolewa ndio anapewa mume wake na katapata huduma.zote Kama mtoto na kwamba katacheza na wenzake Kama kawaida, ila watajaribu kukaweka karibu na mhusika ili aweze kumzoea mf. jamaa akiwa anarudi nyumbani watamwambia akampokee ni ile kumuweka karibu hapo anakuwa amefanywa nini kibaya? Tena kanalala na.mama mkwe maana ni katoto au na wenzake na nyumbani kanakwenda ila hakalali huko na si mara kwa mara. Kabla hamjaamza.kashfa zenu na kuamzisha nyuzi za kurukana.viongozi wa dini ambazo sio zenu mngejaribu kuchunguza, pia ustaarabu.uchukue nafasi yake
Yaani nina hamu ijumaa ifike nimsikie sheikh akitoa mawaidha juu ya hii fursa mpya toka Arabuni......maana sheikh wa hapa mtaani kwetu inasadikika anafuga mabwabwa pale kwake. Utashangaa anakaa mkekani akila ubwabwa na mabwabwa wake huku wake zake wakila uwani na watoto.Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirrrr
Pilipili ziko shamba zakiwashia nini?! Waache wafanye wanavyotaka katika nchi yao! Wakija kumposa mwanao wakatalie.!View attachment 3210378Si mnataka maendeleo na haki hapo mashariki ya kati. Si mnapendelea kutetea watoto wanaonewa wa mashariki ya kati.
Anzisheni nyuzi basi au muingie mtaani kufanya maandamano maana sidhani nyie binafsi mtataka binti zenu wa miaka 9 kuolewa.
Au hadi Liwe bunge la Israel ndio lifanye hivyo ndio iwe makosa na uoenevu
😂😂😂😂😂
Double standard
Kuna watu nawaona wamekaa mkao wa kushadadia hilo, na huenda wakataka na wao waruhusiwe kwenye kipande chao cha ardhiSheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.
Nauliza . Katika dini ya kikristo umri wa kuoa na kuolewa ni miaka mingapi?! Ukijibu uweke na andiko! Ninavyofahamu habari ya kuolewa na kuoa kuanzia mika 18 tumeletewa na wakolini.Jamani...mbona huu ni ubakaji