Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,053
- 2,207
SWALI:Kwa nini wapinzani kama kina Tundu Lissu wanakuwa wakali namna hii katika mchakato wa katiba?
JIBU:Mchakato huu wa katiba umetekwa na ccm!Mchakato huu unaratibiwa na ccm(sio tume) kwa faida ya ccm.
USHAHIDI:Kinana aliwahi kutoa idadi ya maoni/watu waliotoa maoni kwa tume wiki kadhaa kabla ya mwenyekiti wa tume kufanya hivyo(hii ilitokea katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na kinana ambapo alitumia muda mwingi kuizungumzia chadema)
Leo hii Juma Nkamia 'ameomba' bunge la katiba lifanyikie chimwaga-dodoma,hajatamka haya kama 'ombi' bali hii ni taarifa inayofahamika kwa makada wa ccm haswa hapo dodoma.
SIKU HADI SIKU WATAZIDI KUUMBUKA KWA KUIWEKA WAZI MIPANGO YAO KUTOKA KATIKA VINYWA VYAO!
Kama huamini subiri!