majaar
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 1,356
- 257
Utapigaje kura halafu iwe ya wazi?
Ni wachache sana wanaoweza kumpinga kiongozi wao hadharani.
Mimi najua tuko wana CCM wengi tusiopenda muungano lakini ni wachache wanaoweza sema hadharani kama mimi kuwa hatuutaki kwa kuogopa kuonekana wako tofauti na uongozi.
HILI BUNGE LIKO KWA FAIDA YA WATANZANIA SIO VYAMA.
Na kwa nini unataka ya wazi ? ili ujue nani anakupinga? halafu umfanyeje?
Kumbe una akili timamu Chris kwa Mara ya kwanza umeongea ukweli,receive my 100 likes.