Bunge la katiba: Kura ya uwazi (ccm) au siri (taasisi nyingine)

KURA IWE YA UWAZI AU SIRI


  • Total voters
    41
  • Poll closed .

Kumbe una akili timamu Chris kwa Mara ya kwanza umeongea ukweli,receive my 100 likes.
 

nimejikaza sana kumpa big up lukosi lla nimeshindwa,ni wewe kweli au naota?rudi cdm ndugu utasamehewa tu zambi szako.
 
Good input Mr. Lukosi.

sometimes dude UNA AKILI!hakika ule ushauri wa Dr.PAULINE umefanya kazi........kwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

Kwa mara ya kwanza Lukosi anatoa point. Mpigieni makofi

Kwa mara ya kwanza tangu nijiunge ndani ya JF, Chris Lukosi ameongea senses.

Siamini macho yangu, ngoja nipanguse ukungu. Umezaliwa upya!!! Amen Amen. Haleluya.

Naona Mr. Lukosi amekua quoted kwa kuchangia something sensible. Hahahahahaaa......

Namshukuru LUKOSI kwa leo. Huu ushauri ukasomwe kwenye hilo bunge.

Makofi kwako Lukosi kwakutoa point leo

Kumbe una akili timamu Chris kwa Mara ya kwanza umeongea ukweli,receive my 100 likes.

Duhh Chris Lukosi leo umewashangaza wengi!Hongera sana kwa kujitambua!
 
Last edited by a moderator:

Umeongea vema Chris Lukosi, nachoona hapo ni watu hawajajitambua. Pamoja na kukumbushwa madhara ya uwazi toka kwa mzee Cheyo na Prof. Lipumba hawajaelewa. hili la kura ya wazi likipita tutegemee katiba mbovu ambayo haina uhalisia kwa wananchi ila ya kufurahisha watawala. Wanasiasa wameliteka bunge hili tegemewa.
 

tangu jana mzee unanifurahisha sana penye tatizo unapaona na kusema ukweli wako sijawahi kutegemea kuona maandiko kama haya kutoka kwako !!!!!!
 

Kwa mara ya kwanza toka umehamia magamba leo umeongea kama mwenye akili timamu,hongera'
 

lukosi wewe unaitaji kura ya siri ili iweje? Mbona kenya walipiga ya wazi? Acha kuwaza kwa kutumia ubongo wa sokwe
 

Nakuunga mkono 100%.
 
Big up Lukosi......naona umewashangaza wengi....hata neno la Rambi Rambi limesahaulika. Ingekuwa JF inafuatiliwa na wabunge nadhani wote wenye msimamo wa kura za wazi wangebadili msimamo wao mara moja.....maana ni 94%(SIRI) na 6%(WAZI) mpaka sasa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…