Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 534
Hiyo ndiyo serikali yetu ya ccm inafanya inavyotaka, kwani mtaifanya nini? after all kila mwaka na kila uchaguzi mtawachagua sasa inawahusu nini? achana na ccm bwana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu wana Jamvi,
Nimetafakari kwanini Uongozi wa Bunge umeamua kutokuonesha Bunge LIVE sijapata jibu. Katika sheria zetu, ni haki kwa kila mtanzania kupata taarifa, kama hii ya mchakato wa Katiba, Bungeni. Tuishawishi Serikali kupitia Jukwaa hili kuhakikisha Kipndi cha Bunge kinarushwa Live ili tuweze kuona moja kwa moja majadiliano ya wawakilishi wetu Bungeni. Tafakari, paza sauti yako kupitia Jukwaa hili, nafahamu watasikia!
Karibuni
Ndugu wana Jamvi,
Nimetafakari kwanini Uongozi wa Bunge umeamua kutokuonesha Bunge LIVE
sijapata jibu. Katika sheria zetu, ni haki kwa kila mtanzania kupata
taarifa, kama hii ya mchakato wa Katiba, Bungeni. Tuishawishi Serikali
kupitia Jukwaa hili kuhakikisha Kipndi cha Bunge kinarushwa Live ili
tuweze kuona moja kwa moja majadiliano ya wawakilishi wetu Bungeni.
Tafakari, paza sauti yako kupitia Jukwaa hili, nafahamu watasikia!
Karibuni
Ni Moja ya nchi za kipumbavu Kuwahi kutokea..
Wanajua Fika hakuna anayeweza kuhoji..
Ni haki yetu lazima tuone nini wanajadili..
CCM inaongoza nchi kipumbavu sana..Ni wajinga wajinga ndio wanaweza kushabikia Upumbavu wao..
Na ole wao watuletee katiba isiyo na maslahi na Taifa...Manina zao..
Wakionesha watatoa wapi uzushi wa kuwadanganya wananchi?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums