Mahamud_2000
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 200
- 99
Hatimae lile dukuduku ambalo wengi walikua nalo kuhusu ni lini na akina nani watatuwakilisha watanzania mjengoni kujadili rasimu ya pili ya mabadiliko ya katiba limepatiwa majibu.Majina na tarehe vyote viko hadharini.Tunawaombea wote mlioteuliwa mungu awape nguvu hekima na busara katika uwakilishi wenu hatimae mtupatie katiba ambayo watanzania wanaitaka.
Kila la heri.
Kila la heri.