Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Yaani baada ya mihangaiko ya siku nzima huwa nalingohea bunge la katina kwa hamu kweli ...niweze kucheka na kutulizabakili ..
Kuliko niangalie comedy like futuhi na wakina Joti ni bora nifurahi kwa kuangalia Bunge la katiba ..kwani ni zaidi ya ze comedy . ..
Big Up Wajumbe ... kwa kazi iliyowapeleka.. naona ndicho mlichotumwa kuwakilisha . kwnye katiba . .. aaaahsaaaanteeee. ..
we uliite jina lolote unalotaka weye, lakini ndiyo hao hao wanakutungia katiba ya wanao, wajukuu na vitukuu vyako.
Bunge la Katina???/ha ha ah, yaani bunge la katiba pamoja na thread yako vinaniacha mbavu vinauma...anyway mkuu hao ndo watu wazima tuliowapa nguvu ya kujenga sheria, ni vituko.....
ukiangalia bunge usipocheka ww jua huna bandama ..
kuna mwenzako mmoja alipigwa biti la kufa mtu na watu wanao-pretend kuwa ni "USALAMA WA TAIFA" wakati hawana lolote enzi zile walipomfukuza Zitto bungeni kwa ajili ya issue ya Karamagi + Buzwagi.
Kisa aliandika makala kwenye gazeti (jina kapuni) yenye kichwa cha habari "BUNGE LA MABWEGE NA KURA ZA CHEKECHEA"
mkuu hilo swala la kucheka + bandama lilisumbua sana cku moja nilipolileta hapa JF, kuna members walisema hakuna uhusiano wowote kati ya Bandama na uwezo wa mtu kucheka.
najua hii haina connection na mada husika ila nimeona siyo vibaya kuweka kumbukumbu sawa.