Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,021
tunaposema kuwa CCM ni wezi wa kura wengi hapa huwa awaamini hata kidogo,bunge waheshimiwa kura zinazidije?hapo ndipo mimi sielewi kabisa.
hii inaonyesha kuwa huku mashinani ndio huwa vinara wa kuchakachua matokeo
Je na wewe akili yako imeibiwa na CCM? Maana hapa hakuna anaejadili nani kamuibia nani? Kama wenyewe mnasema Bunge limehodhiwa na CCM kwa 70% na Mh. Kificho alipata 69.9% huo wizi umefanyikaje? Mbona nyie hamkutangaza kuweka Mgombea iweje muibiwe kura? au mliweka mgombea kwa Mlango wa Nyuma?