Ameanza kwa kupiga mkwara kuwa huenda Bunge likakosa uhalali siku za usoni , na ametoa chapisho lake ambalo atalisambaza leo
Anamwambia mwenyekiti wa kikao kuwa wamemchagua kwa kura ya siri na hiyo ndio democratic civility, na anasema kuwa kuhusu suala la ujasiri yeye hajaona mtu jasiri kwenye nchi hii kama yeye so anataka kura ya siri.
Mtikila anatiririka,anasema bunge la katiba limetekwa na chama kimoja,jambo ambalo ni hatari sana!anasema kura ya siri si suala la kujadili..lipo ndani ya katiba,kulinda uhuru wa mtu..
Mtikila anapenda kuropoka sanaHaki ya msingi ya faragha ni jambo la kikatiba , sasa hao wanaojadili kuwa kura iwe ya wazi ni wagonjwa