jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
kwa kuwa watanzania tumekuwa tukiishi kwa amani na upendo, jambo ambalo limekoleza thamani ya udugu wetu, umefika wakati tuionyeshe dunia kuwa hatuogopani wala kutishana tunapotakiwa kupiga kura kuamua mustakabali wa jambo letu kubwa na nyeti kabisa.
kama bunge la katiba linakusudia kutumia mfumo huu wa kupiga kura ya wazi, kwa nini wananchi nasi tusipewe fursa kama hii kwa jambo hilihili la katiba.
pinga kwa hoja, unga mkono kwa hoja pia.
kama bunge la katiba linakusudia kutumia mfumo huu wa kupiga kura ya wazi, kwa nini wananchi nasi tusipewe fursa kama hii kwa jambo hilihili la katiba.
pinga kwa hoja, unga mkono kwa hoja pia.