BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

Akichangia katika mjadala wa kupitisha kanuni za bunge la katiba amesema kura zie za siri ili wajumbe waondoke katika bunge baada ya kmaliza kazi wakiwa wamoja kwani kura za wazi huweza kuleta mfarakano baada ya kuonyesha msimamo yao. Ninamshukuru kiongozi huyu wa kiroho kwa kupinga unafiki hii wa CCM.
 
Ameongea vizuri sana kama kiongozi wa dini kwani amesema wazi kuwa vazi la Kanzu linapaswa kuwa sehemu ya mavazi rasmi ya wajumbe , kuhusu kura kaweka wazi kuwa itaondoa lawama na kujenga makundi.
 

Mkuu huwa wanapiga bao kwenye kuhesabu/kujumlisha kura, pia huwahonga mawakala wa vyama vya upinzani ili watwist matokeo kwa faida kuwa kwao, tukipanga foleni kwa maana ya kupiga kura kwa wazi, ccm haifiki saa tano asubuhi haitakuwepo kwenye madaraka. huo ndio uzuri wa upande wa pili wa jambo wanalolitaka hawa ccm.
 
safi sheikh, huo ndo maamuzi ya kiungwana, ccm kwisha habari yenu nyambafu zaoooooo woteeeee wenye nia chafu za kishetani,, kule kalenga napata taarifa zomeazomea imeshaanza mwigulu ulimi umetoka njee kama mbwa wa mtaani mwenye kiu kali ya maji
 
Paulina Gegul ameongea vyema,kina Kinana wametunga katiba wajumbe maCCM hawawezi kuwa huru.
 
Naunga mkono hoja ila kwa siri siyo kama inavyotaka miCCM mizee ya NDiyoooooo!!
 
Dah! sikudhani km huyu mwanaharakati angeweza kulishawishi bunge hadi kupigiwa makofi na BUNGE kuhusu jinsi alivyotoa mfano wa maumbile ya binadamu na mwisho kuelezea kura ya siri jinsi inavyoweza kuliokoa taifa na ata MCH Mtikila nae hakua nyuma japo hakushangiliwa lakini mantiki yake ni kua demokrasia ya kweli ni usiri wa kupiga kura hivyo na kutetea hoja yake ya kura ya siri....Apa utaona wanaounga mkono kura ya wazi yani zile "ndiiiiioooooooooooooooooooooooo" ni wa mlengo wa CCM ambao huwanyima haki wabunge wao pale watakapoenda kinyume na viongozi wao wakuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…