karekwachuza JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 999 Reaction score 335 Feb 21, 2014 #1 jamani bunge hili ni la wananchi wote bila kujali dini,kabila,itikadi za kisiasa,rangi,umri,Rangi n.k iweje mtu akurupuke na usema sisi kama ccm tunahitaji serikali mbili,je huyu mtu analitakia mema Taifa hili.naomba mongozo waheshimiwa
jamani bunge hili ni la wananchi wote bila kujali dini,kabila,itikadi za kisiasa,rangi,umri,Rangi n.k iweje mtu akurupuke na usema sisi kama ccm tunahitaji serikali mbili,je huyu mtu analitakia mema Taifa hili.naomba mongozo waheshimiwa