karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
jamani bunge hili ni la wananchi wote bila kujali dini,kabila,itikadi za kisiasa,rangi,umri,Rangi n.k iweje mtu akurupuke na usema sisi kama ccm tunahitaji serikali mbili,je huyu mtu analitakia mema Taifa hili.naomba mongozo waheshimiwa