Bunge la Kenya kuanza mijadala kwa Kiswahili

hatutaki huo uchafu wa uswahili swahili bungeni...wabunge waendelee kutema yai tu...huko kwa wenzetu kiswahili kimewapeleka wapi??😂
 
Kuna demu wa kikenya nachati nae hapa aisee ni kichefu chefu maandishi yake utafikiri ni bata anaharisha, sio kingereza sio kiswahili ngoja nitascreenshot mida mida [emoji51][emoji51][emoji51]
Kwenye sa anaweka za [emoji23][emoji23][emoji23] hajui kuruka space full kubananisha maneno.
Acha kusumbua dada zetu aisee Tz kuna wadada wa kutosha.
 
Nimeona kwenye azam TV habari usiku huu wabunge wakenya wakipelekeshana kwenye mijadala ya bunge kwa lugha ya kiswahili imekuwa kama comedy ni vituko hakuna mfano.lakini msipate hofu mtazoea tuu. Naona nguvu ya Rais magufuli kulazimisha matumizi ya kiswahili inavuka mipaka ya nchi sasa.

Hongereni wakenya tukienzi kiswahili.
Ni jitahada za awamu ya tano na serikali yake
 
Wakenya hawajui kiswahili wala english, akiongea kiswahil kdgo tu kitampga bao atarukia ngeli, ngeli nayo itamchanga atakimbilia kiswahili wakaanzisha kitu chao wakaita "sheng" mana hii sio lugha, kwamba ndo lugha yao kumbe hamna wanachoweza ni excuse tu
 
We ni hypocrite sababu kiswahili unachojifanya kukijua kilianza vivo hivo.

Kiarabu + Kibantu = Kiswahili
English + Kiswahili = Sheng

Kenya hatuko stuck mahali pamoja we embrace change because change is constant.
 
Mijadala kwenye bunge la Kenya imekuwa ikifanywa kwa lugha ya kiswahili na kiingereza pia, kwa pamoja, tangu tupate Uhuru. Lugha zote mbili ni lugha rasmi bungeni. Hii ilikuwa 2017. Naona wanakwaya wamesahau asili ya kiswahili ni wapi. Sijui bunge la Tz likilazimishwa kutumia kiingereza hata kwa lisaa limoja itakuwaje. Kuelewa lugha zaidi ya moja au mbili ni 'advantage' moja kubwa mno. Alafu hata kiswahili cha baadhi ya wabunge Tz ni kibovu kupindukia. 'r'/'l', 'dhi'/zi huwa zinawakanganya sana.
Ww ukiona unajua kiswahili vizur bc unatakiwa uwashukuru watanzania lazima kutakuwa na mchango wao mkubwa mbona mbunge wako msomi na bado hajui kiswahili ,
 
Watanzania wengi wana matatizo ya kimatamshi huku Wakenya wengi wana matatizo ya kisarufi. Huenda Kiswahili ndiyo lugha inayoongewa ovyo kabisa na wazungumzaji wake. Wazanzibari ndiyo wanaongea Kiswahili kizuri, wengine wababaishaji.
Du wazanzibar ndo wanaongea vizur!!
 
Acha uzuzu wew, kiswahili hakijatokana na kiarabu, kimmekopa maneno baadhi tu na sio kiarabu pekee bali kijerumaani na kiingereza pia, kiswahili ni 99% bantu, 1% ni maneno ya lugha zngne, waarabu wallisaidia tu kukikuza kwa ajil ya biashara na waweze kuelewana na waafrika wa pwani, waingereza nao walikifundsha darasan ili kitumike na wao pia watuelewe ila sio lugha yao na haijotokana na lugha zao. Mbna english inamaneno ya kilatin na spanish na hawaiti englispain or englatino? So punguza ubwege
We ni hypocrite sababu kiswahili unachojifanya kukijua kilianza vivo hivo.

Kiarabu + Kibantu = Kiswahili
English + Kiswahili = Sheng

Kenya hatuko stuck mahali pamoja we embrace change because change is constant.
 
Acha uzuzu wew, kiswahili hakijatokana na kiarabu, kimmekopa maneno baadhi tu na sio kiarabu pekee bali kijerumaani na kiingereza pia, kiswahili ni 99% bantu, 1% ni maneno ya lugha zngne, waarabu wallisaidia tu kukikuza kwa ajil ya biashara na waweze kuelewana na waafrika wa pwani, waingereza nao walikifundsha darasan ili kitumike na wao pia watuelewe ila sio lugha yao na haijotokana na lugha zao. Mbna english inamaneno ya kilatin na spanish na hawaiti englispain or englatino? So punguza ubwege
Sasa ur proving my point
Sheng ni Kiswahili na misemo ya english+kikuyu and other local languages. It has sprung up sababu sasa hivi hatuko era ya muarabu bali tuko era ya kizungu.
 
Acha uzuzu wew, kiswahili hakijatokana na kiarabu, kimmekopa maneno baadhi tu na sio kiarabu pekee bali kijerumaani na kiingereza pia, kiswahili ni 99% bantu, 1% ni maneno ya lugha zngne, waarabu wallisaidia tu kukikuza kwa ajil ya biashara na waweze kuelewana na waafrika wa pwani, waingereza nao walikifundsha darasan ili kitumike na wao pia watuelewe ila sio lugha yao na haijotokana na lugha zao. Mbna english inamaneno ya kilatin na spanish na hawaiti englispain or englatino? So punguza ubwege
Asilimia 35 ya Kiswahili ni Kiarabu. Kiswahili ni matunda ya biashara ya utumwa na ukoloni wa Waarabu kwenye Pwani ya Afrika Mashariki.
 
Acha uzuzu wew, kiswahili hakijatokana na kiarabu, kimmekopa maneno baadhi tu na sio kiarabu pekee bali kijerumaani na kiingereza pia, kiswahili ni 99% bantu, 1% ni maneno ya lugha zngne, waarabu wallisaidia tu kukikuza kwa ajil ya biashara na waweze kuelewana na waafrika wa pwani, waingereza nao walikifundsha darasan ili kitumike na wao pia watuelewe ila sio lugha yao na haijotokana na lugha zao. Mbna english inamaneno ya kilatin na spanish na hawaiti englispain or englatino? So punguza ubwege
Nenda tena kasome historia.kiswahili kilizaliwa kutoka lugha ya kiarabu,kireno na kibantu lakini kwa asilimia kubwa maneno ya kiarabu yaliongezwa katika kiswahili na ndio maana kiswahili kilianzia pwani ambako kulikuwa na biashara kati ya warabu ,waajemi ,wahindi na wareno na waafrika.
 
January 20, 2020
Nairobi, Kenya

Wabunge watatizwa na lugha ya Kiswahili, Kamati Maalum yagundua ni wabunge wachache sana Kenya wanaweza kujadili na kutoa michango yao kuhusu shughuli za serikali kwa lugha ya Kiswahili nchini Kenya. Dhumuni la kuazimia Bunge la Kenya kutumia Kiswahili ni kufanya wananchi waelewe nini kinaongelewa Bungeni kwani ni wananchi wachache wenye uelewa wa lugha ya Kiingereza.

Back
Top Bottom