Acha kusumbua dada zetu aisee Tz kuna wadada wa kutosha.Kuna demu wa kikenya nachati nae hapa aisee ni kichefu chefu maandishi yake utafikiri ni bata anaharisha, sio kingereza sio kiswahili ngoja nitascreenshot mida mida [emoji51][emoji51][emoji51]
Kwenye sa anaweka za [emoji23][emoji23][emoji23] hajui kuruka space full kubananisha maneno.
πππAcha kusumbua dada zetu aisee Tz kuna wadada wa kutosha.
Ni jitahada za awamu ya tano na serikali yakeNimeona kwenye azam TV habari usiku huu wabunge wakenya wakipelekeshana kwenye mijadala ya bunge kwa lugha ya kiswahili imekuwa kama comedy ni vituko hakuna mfano.lakini msipate hofu mtazoea tuu. Naona nguvu ya Rais magufuli kulazimisha matumizi ya kiswahili inavuka mipaka ya nchi sasa.
Hongereni wakenya tukienzi kiswahili.
We ni hypocrite sababu kiswahili unachojifanya kukijua kilianza vivo hivo.Wakenya hawajui kiswahili wala english, akiongea kiswahil kdgo tu kitampga bao atarukia ngeli, ngeli nayo itamchanga atakimbilia kiswahili wakaanzisha kitu chao wakaita "sheng" mana hii sio lugha, kwamba ndo lugha yao kumbe hamna wanachoweza ni excuse tu
Nizaidi ya commedy
Ww ukiona unajua kiswahili vizur bc unatakiwa uwashukuru watanzania lazima kutakuwa na mchango wao mkubwa mbona mbunge wako msomi na bado hajui kiswahili ,Mijadala kwenye bunge la Kenya imekuwa ikifanywa kwa lugha ya kiswahili na kiingereza pia, kwa pamoja, tangu tupate Uhuru. Lugha zote mbili ni lugha rasmi bungeni. Hii ilikuwa 2017.Naona wanakwaya wamesahau asili ya kiswahili ni wapi. Sijui bunge la Tz likilazimishwa kutumia kiingereza hata kwa lisaa limoja itakuwaje. Kuelewa lugha zaidi ya moja au mbili ni 'advantage' moja kubwa mno. Alafu hata kiswahili cha baadhi ya wabunge Tz ni kibovu kupindukia. 'r'/'l', 'dhi'/zi huwa zinawakanganya sana.
Du wazanzibar ndo wanaongea vizur!!Watanzania wengi wana matatizo ya kimatamshi huku Wakenya wengi wana matatizo ya kisarufi. Huenda Kiswahili ndiyo lugha inayoongewa ovyo kabisa na wazungumzaji wake. Wazanzibari ndiyo wanaongea Kiswahili kizuri, wengine wababaishaji.
We ni hypocrite sababu kiswahili unachojifanya kukijua kilianza vivo hivo.
Kiarabu + Kibantu = Kiswahili
English + Kiswahili = Sheng
Kenya hatuko stuck mahali pamoja we embrace change because change is constant.
Sasa ur proving my pointAcha uzuzu wew, kiswahili hakijatokana na kiarabu, kimmekopa maneno baadhi tu na sio kiarabu pekee bali kijerumaani na kiingereza pia, kiswahili ni 99% bantu, 1% ni maneno ya lugha zngne, waarabu wallisaidia tu kukikuza kwa ajil ya biashara na waweze kuelewana na waafrika wa pwani, waingereza nao walikifundsha darasan ili kitumike na wao pia watuelewe ila sio lugha yao na haijotokana na lugha zao. Mbna english inamaneno ya kilatin na spanish na hawaiti englispain or englatino? So punguza ubwege
Ndiyo ukweli huo, huwezi kukuta wanachanganya r na l kama wewe unavyoandika jamvini humu.Du wazanzibar ndo wanaongea vizur!!
Asilimia 35 ya Kiswahili ni Kiarabu. Kiswahili ni matunda ya biashara ya utumwa na ukoloni wa Waarabu kwenye Pwani ya Afrika Mashariki.Acha uzuzu wew, kiswahili hakijatokana na kiarabu, kimmekopa maneno baadhi tu na sio kiarabu pekee bali kijerumaani na kiingereza pia, kiswahili ni 99% bantu, 1% ni maneno ya lugha zngne, waarabu wallisaidia tu kukikuza kwa ajil ya biashara na waweze kuelewana na waafrika wa pwani, waingereza nao walikifundsha darasan ili kitumike na wao pia watuelewe ila sio lugha yao na haijotokana na lugha zao. Mbna english inamaneno ya kilatin na spanish na hawaiti englispain or englatino? So punguza ubwege
Nimeona kwenye azam TV habari
Nenda tena kasome historia.kiswahili kilizaliwa kutoka lugha ya kiarabu,kireno na kibantu lakini kwa asilimia kubwa maneno ya kiarabu yaliongezwa katika kiswahili na ndio maana kiswahili kilianzia pwani ambako kulikuwa na biashara kati ya warabu ,waajemi ,wahindi na wareno na waafrika.Acha uzuzu wew, kiswahili hakijatokana na kiarabu, kimmekopa maneno baadhi tu na sio kiarabu pekee bali kijerumaani na kiingereza pia, kiswahili ni 99% bantu, 1% ni maneno ya lugha zngne, waarabu wallisaidia tu kukikuza kwa ajil ya biashara na waweze kuelewana na waafrika wa pwani, waingereza nao walikifundsha darasan ili kitumike na wao pia watuelewe ila sio lugha yao na haijotokana na lugha zao. Mbna english inamaneno ya kilatin na spanish na hawaiti englispain or englatino? So punguza ubwege