wewe hujakamilika maana una low level thinking! Unakuwa driven na wengi wape, bila internalized reasoning on issues. Mimi huwa nablock watu amba level ya thinking ni lowMkuu....umekamilika kweli?......au nusu JINSIA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe hujakamilika maana una low level thinking! Unakuwa driven na wengi wape, bila internalized reasoning on issues. Mimi huwa nablock watu amba level ya thinking ni lowMkuu....umekamilika kweli?......au nusu JINSIA.
wapagani kwa hiyo wauawe.Mungu unamjua wewe na nafsi yako. mambo ya kufikirika, kusadikika, wapagani kwa hiyo wauawe?
We jamaa..!!! Embu funguka zaidi. Nina mashaka sana na hizi coments zakoexactly! mtu ana mwili wake anataka kuutumia anvyoona, utamkatazaje?
Sawa mkuu....mchonyo ni wako endelea kuugawa! Lakini ufanye Siri. Maana Mila na desturi zetu sisi Waafrika hususani Watz ni kinyume na ni aibu kwako na wazazi wako. Na Kuna Sheria pia ya ulawiti ni miaka 30 sujajua nyie mnaokubali kufanyiwa hukumu yake ni ipi.wewe hujakamilika maana una low level thinking! Unakuwa driven na wengi wape, bila internalized reasoning on issues. Mimi huwa nablock watu amba level ya thinking ni low
Wameamua kupelekeana moto boss itakuwa wanapata utamu ndio maana wanatetea sana asee,Sawa mkuu....mchonyo ni wako endelea kuugawa! Lakini ufanye Siri. Maana Mila na desturi zetu sisi Waafrika hususani Watz ni kinyume na ni aibu kwako na wazazi wako. Na Kuna Sheria pia ya ulawiti ni miaka 30 sujajua nyie mnaokubali kufanyiwa hukumu yake ni ipi.
Na kumbuka Kila kitu kina mipaka. Hata haki za binadamu zina mipaka(limit) mfano Kila mtu ana haki ya kutoa maoni..lakini imeweka mipaka maoni hayo yasiwe yenye kudhalilisha utu wa mwingine.
Anyway, mambo ya ushoga si mazuri lakini kumsema Marekani hana kitu ni umbbumbu mkubwa mno mno!Una ongea utopia, zamani marekani ndio ilikuwa hivyo sasa hivi marekani ni mavimavi tu, ime kwishney kabisa walahi
Vladmir Putin ana mtandika vibaya sana hana hamu[emoji13]
North Korea [emoji1188]
Kamtupia bomu la masafa marefu, yeye yuko kimya kama maji ya mtungi!
Hakuna vita hata mmoja aliyo shinda, yeye kazi yake ni kunena uwongo na kuwa lagahi watu kama wewe unae angalia movie za Hollywood na kuamini mambo ya FBI na CIA na kufikiri ni kweli.
Bado una mwendo mrefu sana wa kukuwa kijana mdogo ana good luck with that walahi
Walio wengi wanakibilia swali kama hilo, wewe siyo wa kwanza. My answer is, sitajivunia maana ushoga si mila, tabia na destuli zetu. lakini sitamuua kwa vile amekuwa shoga. Ameamua kuwa hivyo na aende zake afanya anachotaka na mwili wake! Ana haki ya kufanya anachotaka na mwili wake, sisi tunaweza kumwambia hicho si kizuri, tena kwa ukali na labda nikamwambia kwangu usije tena, lkn namwachia haki yake ya kufanya atakacho na mwili wakeSorry Mkuu,una mtoto wa kiume?!! Akiwa shoga utajivunia?!!
sidhani, ushoga ni mbaya, haufai kwa destuli na mila zetu, lakni those practicing it should not be intimidated
kwasababu hakuna raisi aliyepingana na Marekani akabaki salama
Walio wengi wanakibilia swali kama hilo, wewe siyo wa kwanza. My answer is, sitajivunia maana ushoga si mila, tabia na destuli zetu. lakini sitamuua kwa vile amekuwa shoga. Ameamua kuwa hivyo na aende zake afanya anachotaka na mwili wake! Ana haki ya kufanya anachotaka na mwili wake, sisi tunaweza kumwambia hicho si kizuri, tena kwa ukali na labda nikamwambia kwangu usije tena, lkn namwachia haki yake ya kufanya atakacho na mwili wak
mambo ya ushoga hayafai, lakini why ciminalize ushoga? acha mtu anayefanya ushoga na afanye, inakuhusu nini? amevunja haki yako? sidhani. Ulevi haufai lkn tuko nao na ni ndugu zetu! akilewa amevunja haki yako?Ikiwa unakili kweli sio sawa na kua inahitaji kukemea kwa ukali,kwa nini watu wakikemea na kulaani kwa ukali mnatokea watetezi wa mambo ambayo mnakili kua hayafai?!!