Bunge la Kenya matatani na balozi wa Marekani kuhusiana na ushoga

Mungu unamjua wewe na nafsi yako. mambo ya kufikirika, kusadikika, wapagani kwa hiyo wauawe?
wapagani kwa hiyo wauawe.

HAWAWEZI KUUAWA KWA SABABU HAWAPUMULIANI VISOGONI 'me' kwa 'me au 'ke' kwa 'ke'.

Wewe ni mwanachama wa haya mambo?
 
wewe hujakamilika maana una low level thinking! Unakuwa driven na wengi wape, bila internalized reasoning on issues. Mimi huwa nablock watu amba level ya thinking ni low
Sawa mkuu....mchonyo ni wako endelea kuugawa! Lakini ufanye Siri. Maana Mila na desturi zetu sisi Waafrika hususani Watz ni kinyume na ni aibu kwako na wazazi wako. Na Kuna Sheria pia ya ulawiti ni miaka 30 sujajua nyie mnaokubali kufanyiwa hukumu yake ni ipi.

Na kumbuka Kila kitu kina mipaka. Hata haki za binadamu zina mipaka(limit) mfano Kila mtu ana haki ya kutoa maoni..lakini imeweka mipaka maoni hayo yasiwe yenye kudhalilisha utu wa mwingine.
 
Wameamua kupelekeana moto boss itakuwa wanapata utamu ndio maana wanatetea sana asee,
 
Anyway, mambo ya ushoga si mazuri lakini kumsema Marekani hana kitu ni umbbumbu mkubwa mno mno!
 
Hapa Kenya watachomoaa...mmarekani hatawezana na pasua vichwa hao..pengine itokee otherwise
 
Sorry Mkuu,una mtoto wa kiume?!! Akiwa shoga utajivunia?!!
Walio wengi wanakibilia swali kama hilo, wewe siyo wa kwanza. My answer is, sitajivunia maana ushoga si mila, tabia na destuli zetu. lakini sitamuua kwa vile amekuwa shoga. Ameamua kuwa hivyo na aende zake afanya anachotaka na mwili wake! Ana haki ya kufanya anachotaka na mwili wake, sisi tunaweza kumwambia hicho si kizuri, tena kwa ukali na labda nikamwambia kwangu usije tena, lkn namwachia haki yake ya kufanya atakacho na mwili wake
 

Ikiwa unakili kweli sio sawa na kua inahitaji kukemea kwa ukali,kwa nini watu wakikemea na kulaani kwa ukali mnatokea watetezi wa mambo ambayo mnakili kua hayafai?!!
 
Ikiwa unakili kweli sio sawa na kua inahitaji kukemea kwa ukali,kwa nini watu wakikemea na kulaani kwa ukali mnatokea watetezi wa mambo ambayo mnakili kua hayafai?!!
mambo ya ushoga hayafai, lakini why ciminalize ushoga? acha mtu anayefanya ushoga na afanye, inakuhusu nini? amevunja haki yako? sidhani. Ulevi haufai lkn tuko nao na ni ndugu zetu! akilewa amevunja haki yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…