chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 546
- 69
Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje
Kichwa kama Tindu Lisu
Freman Mbowe
Halma Mdee
Myika
Thomas Nyimbo
Lema
na babu mrema na vingine kibao....
Huyo spika mpya ajiandae!!!!!!
ndo maana ccm wanataka kuchakachua ili waendelee na ujinga wao!umemsahau prof; mlambiti, regia mtema, sugu, kafulila, steve nyerere etc.
ndo maana ccm wanataka kuchakachua ili waendelee na ujinga wao!
Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje
Kichwa kama Tindu Lisu
Freman Mbowe
Halma Mdee
Myika
Thomas Nyimbo
Lema
na babu mrema na vingine kibao....
Huyo spika mpya ajiandae!!!!!!