Elections 2010 Bunge la kipindi hiki litatisha!!....

Elections 2010 Bunge la kipindi hiki litatisha!!....

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
546
Reaction score
69
Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje
Kichwa kama Tindu Lisu
Freman Mbowe
Halma Mdee
Myika
Thomas Nyimbo
Lema
na babu mrema na vingine kibao....
Huyo spika mpya ajiandae!!!!!!
 
umemsahau Prof; Mlambiti, Regia mtema, Sugu, Kafulila, Steve nyerere etc.
 
Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje
Kichwa kama Tindu Lisu
Freman Mbowe
Halma Mdee
Myika
Thomas Nyimbo
Lema
na babu mrema na vingine kibao....
Huyo spika mpya ajiandae!!!!!!

Spika ajiandae vyema la sivyo, watampasua kichwa.
 
Mkuu Thomasi nyimbo hajapita ila kuna kichwa matata sana kinaitwa Mchungaji msigwa wa iringa mjini kwa CHADEMA nae ni noma
 
Arumemeru nako CHADEMA waliweka kichwa cha kufa mtu, sijui matokeo yakoje mpaka sasa!
 
Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje
Kichwa kama Tindu Lisu
Freman Mbowe
Halma Mdee
Myika
Thomas Nyimbo
Lema
na babu mrema na vingine kibao....
Huyo spika mpya ajiandae!!!!!!

Umemsahau Zitto Kabwe
 
Back
Top Bottom