Yaani ulisikiliza Maria space ndiyo utajua kuna watanzania wengi tu wenye akili na hoja. Watanzania wanajadili mambo ya msingi kuliko bunge ambalo ni bunge la uchawa na kusifia tu. Hakuna mjadala wa maana kwa sasa. Kama unataka kujifunza na kuelewa Tanzania ni hapa Jamii na Maria Space.
Je kuna mtu ana mawazo tofauti?
Je kuna mtu ana mawazo tofauti?