Bunge la Maria Space ni bora kuliko la Tulia- Tanzania

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Yaani ulisikiliza Maria space ndiyo utajua kuna watanzania wengi tu wenye akili na hoja. Watanzania wanajadili mambo ya msingi kuliko bunge ambalo ni bunge la uchawa na kusifia tu. Hakuna mjadala wa maana kwa sasa. Kama unataka kujifunza na kuelewa Tanzania ni hapa Jamii na Maria Space.

Je kuna mtu ana mawazo tofauti?
 
asante kwa taarifa。
P
 
Mfumo wa uwakilishi kupitia bunge ni lazima ubadilike. Zama zimebadilika. Sasa technolojia inawezesha watu kuongea na kukubaliana bila kukusanyika dodoma. Watu wanaweza kutoa maoni kuhusu sheria bila kulazimika kukutana. Je tuendelee na huu mfumo wa sasa uliojaa ubwanyenye na uchawa?
 
Hahaha
 
namna ya kujiunga na ilo bunge pls
 
ChoiceVariable

jamaa ana point
 
Bunge la Maria limechaguliwa na nani?

Ndiyo cha kushangaza hapo. Wanzalendo ambao hawajachaguliwa ni bora sana kuliko wabunge ambao wameibiwa kura na usalama na Polisi. Hii ni aibu kubwa. Bunge limebaki jina. Yaani Maria space wanajadili hoja na kuonyesha uzalendo na hawalipwi na mtu. Hao machawa pale Dodoma wanalipwa kwa lipi hasa!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…