johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama utaniuliza bunge la Ndugai linaloelekea ukingoni nitalikumbuka kwa jambo gani basi nitakuambia lilijenga nidhamu miongoni mwao na wananchi kwa ujumla.
Wabunge walioadhibiwa ni pamoja na Nassari, Godbless Lema na Makamu wa Rais bunge la Afrika mh Maselle.
Viongozi waliohojiwa ni pamoja na RC Makonda na CAG Assad
Mwananchi aliyenidhamishwa ni Pascal Mayalla
Hakika hili lilikuwa bunge la nidhamu
Nawatakia Dominica yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!