Bunge la Tanzania balaa, kuna wakati hushambuliana kwa misingi ya kikabila na kiasili, mara rudi kwenu Oman, rudi kwenu Congo

Huyo mkongomani amejidhalilisha sana kaongea kibaguzi 🤣🤣🤣

Na huyo Myemeni nae angetulia tu..
 
Nyie mnao ukabila wa namna nyingi tu, sema ni vile mpo vizuri kwenye kuficha. Uchama kwenu ni balaa belua.
Jamaa hapa anapokea matofali kisa kavaa mavazi msiyoyapenda.

Sasa uchama ndio ukabila? 😀 umechanganyikiwa wewe.
 
Mbadilike, acheni unafiki.
 
Hatuwezi tukafanana maana sisi ni wawazi ila nyie mumekua mabingwa wa kuficha maradhi na uozo kama Korea Kaskazini, janga la Corona limedhihirisha jinsi mlivyo, mnaweza kufanya chochote hata kuacha watu wajifie ilmradi tu msitajwe mna maradhi.

Corona ndio imewaumbua vizuri kwa kuwababaikia mabeberu na bado unawapukutisha kama utitiri huku sisi tukifuata tiba zetu za asili tulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu na nyie mkizidharau,mnasubiri hadi waume zenu mabeberu wawaletee kinga huku mkiputika
 
Kwanza kwa corona hata ndio usiseme maana mpo useless kabisa full kujichokea kisa umaskini, yaani nyie na roho zenu za kishetani ndio maana mtateseka sana kwa umaskini miaka yote hii, ujamaa uliwalemaza hata uwezo wa kutumia akili.
 
tz ni kisiwa cha ukabila...wanaishi kinafkinafki sana!
 
Kwanza kwa corona hata ndio usiseme maana mpo useless kabisa full kujichokea kisa umaskini, yaani nyie na roho zenu za kishetani ndio maana mtateseka sana kwa umaskini miaka yote hii, ujamaa uliwalemaza hata uwezo wa kutumia akili.

Pole sana kwa njaa kula bongo zenu aisee,sisi corona haina lolote kwetu jirani,maisha ni mazuri tu yanaendelea vizuri tu kama kawaida,nyie endeleeni kijifungia na kwa sasa umeshagonga ikulu kwenu,nawaombea mpone mje kuishi kama sisi huku
 
Acha uongo wewe Tanzania ukabila upo. Sema Tanzania tuna unafiki
 
Acha uongo wewe Tanzania ukabila upo. Sema Tanzania tuna unafiki

Siwezi kukubishia kwa maana sikujui na wala sijui maisha ulioishi, lkn mimi Maisha yangu yote sijawahi kushuhudia huo unaoita ukabila Tanzania, nimeishi sehemu mbalimbali sijawahi kusemwa, kusimangwa au kufukuzwa kwa sababu tu sio mwenyeji wa hilo eneo, hivyo maadamu wewe yameshakukuta na unasema kuna Ukabila Tanzania unaweza kuweka mifano hai hapa ya jinsi ulivyobaguliwaTanzania kama ukipenda, ...
 
Nyie mnao ukabila wa namna nyingi tu, sema ni vile mpo vizuri kwenye kuficha. Uchama kwenu ni balaa belua.
Jamaa hapa anapokea matofali kisa kavaa mavazi msiyoyapenda.

Kweli ubongo umechoka sana,sasa hapa kuna uhusiano gani na ukabila unaoungelea?

Acheni kulazimisha vitu ambavyo havipo,sijawahi kuona Mtanzania yeyote anakatazwa kuishi popote pasipo asili yake na wenye asili ya hapo,ila huko kwenu ni jambo la kawaida sana.
 
Hakuna kitu kama Kabila la Wachaga Dunia hii, Wachaga siyo Kabila, hivyo sioni huo unaouita ukabila unaingiaje hapo, ...

Chuki yako dhidi yao huendeshwa na nini haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…