Bunge la Tanzania: Wadau leteni maoni juu ya Sheria mbalimbali zilizopangwa kubadilishwa

ndo ufanye mpango uende mkuu
Hili bunge halina uhalali wowote wa kutunga sheria kutokana na jinsi lilivyo patikana. Wenye imani nalo wanaweza kwenda, au kutoa kwa njia mbalimbali zitakazowekwa. Ni kupotezeana muda tu, wakati watu hutoa mapendekezo sahihi lakini yanawekwa pembeni kwa sababu za kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…