GE2025 Bunge la Ulaya laitaka Tanzania KUSITISHA matokeo ya Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Bunge la Ulaya limeitaka Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tanzania (INEC) kusitisha kutangaza matokeo ya uchaguzi hadi uchunguzi wa kina ufanyike, kufuatia maandamano na madai ya dosari katika mchakato wa uchaguzi.

Katika taarifa yake, bunge hilo limehimiza jeshi la Tanzania kuchukua nafasi ya kudumisha amani pekee iwapo litaingilia maandamano, na si kushikilia madaraka.

Bunge hilo pia limeunga mkono waandamanaji, likisema maandamano hayo ni ya kupigania haki na uwajibikaji, si vurugu kama inavyodaiwa.

Kauli hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda, kulaani machafuko yanayoendelea na kusema wanashirikiana na vyombo vingine kurejesha utulivu.

Kwa sasa, hali nchini Tanzania bado ni tete, huku baadhi ya maeneo yakiwa chini ya kafyu na mawasiliano yakiripotiwa kukatika.
 
INEC inatakiwa kufuta uchaguzi kisha iachie ngazi mara moja. Hao mazafakas ni sehemu ya genge la wasaliti wa taifa letu!
 
Meanwhile African Union na hao SADC zimekaza pumbu tu.
unadhani EU wanafanya kwakuwa wanatupenda na kutujali? They are just capitalizing on our problems to return back. Wakirudi na wakipata njia ya kupata wanayo taka hutosikia tamko tena toka kwao

Natamani tufike hatua tunpata suluhu na majibu ya matatizo yetu bila hao viumbe kuingilia, lakini tukiendelea kushapaza shingo na kutosikilizana, kisha tukaamua machafuko ndio iwe namna ya kutafuta majibu wataendelea kutukejeli na watarudi kukwapua kwa kadri wanavyo taka.
 
Thread 'Bunge la Ulaya laitaka Tanzania KUSITISHA Matokeo ya UCHAGUZI' GE2025 - Bunge la Ulaya laitaka Tanzania KUSITISHA Matokeo ya UCHAGUZI
Bunge la Ulaya limeitaka Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tanzania (INEC) kusitisha kutangaza matokeo ya uchaguzi hadi uchunguzi wa kina ufanyike, kufuatia maandamano na madai ya dosari katika mchakato wa uchaguzi.

Katika taarifa yake, bunge hilo limehimiza jeshi la Tanzania kuchukua nafasi ya kudumisha amani pekee iwapo litaingilia maandamano, na si kushikilia madaraka.

Bunge hilo pia limeunga mkono waandamanaji, likisema maandamano hayo ni ya kupigania haki na uwajibikaji, si vurugu kama inavyodaiwa.

Kauli hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda, kulaani machafuko yanayoendelea na kusema wanashirikiana na vyombo vingine kurejesha utulivu.

Kwa sasa, hali nchini Tanzania bado ni tete, huku baadhi ya maeneo yakiwa chini ya kafyu na mawasiliano yakiripotiwa kukatika.
Huku sio ni kutuingilia mambo yetu ya ndani ?
P
 
Attachments

  • President fled away in Helicopter after Gen-z approach State Ho.mp4
    3.7 MB
Thread 'Bunge la Ulaya laitaka Tanzania KUSITISHA Matokeo ya UCHAGUZI' GE2025 - Bunge la Ulaya laitaka Tanzania KUSITISHA Matokeo ya UCHAGUZI

Huku sio ni kutuingilia mambo yetu ya ndani ?
P
Kuingiliwa ni lazima maana serikali ya chama chenu imeruhusu hilo jambo. Ilikataa ushauri hadi mzee wasira akatamka wame test mitambo na mambo yako shwari, kumbe mitambo yenyewe ilikuwa hii ya Gen Z.
Jamii ya kimataifa hauwezi kukaa kimya na kuruhusu nchi zao zianze kupokea wakimbizi toka Tanzania Kwa sababu ya ujinga wa kungangania na kulazimisha ushindi unaofanywa na ccm. Hawa ndio chanzo cha tatizo- kukataa kufanya min. reform ili wale jamaa washiriki.
 
Back
Top Bottom