figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
INEC inatakiwa kufuta uchaguzi kisha iachie ngazi mara moja. Hao mazafakas ni sehemu ya genge la wasaliti wa taifa letu!Bunge la Ulaya limeitaka Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tanzania (INEC) kusitisha kutangaza matokeo ya uchaguzi hadi uchunguzi wa kina ufanyike, kufuatia maandamano na madai ya dosari katika mchakato wa uchaguzi.
Katika taarifa yake, bunge hilo limehimiza jeshi la Tanzania kuchukua nafasi ya kudumisha amani pekee iwapo litaingilia maandamano, na si kushikilia madaraka.
Bunge hilo pia limeunga mkono waandamanaji, likisema maandamano hayo ni ya kupigania haki na uwajibikaji, si vurugu kama inavyodaiwa.
Kauli hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda, kulaani machafuko yanayoendelea na kusema wanashirikiana na vyombo vingine kurejesha utulivu.
Kwa sasa, hali nchini Tanzania bado ni tete, huku baadhi ya maeneo yakiwa chini ya kafyu na mawasiliano yakiripotiwa kukatika.
Wanajulikana hao, hawana faida yeyote zaidi ya kukutana kunywa chai na kupiga pichaMeanwhile African Union na hao SADC zimekaza pumbu tu.
Dictators ClubAfrican Union
unadhani EU wanafanya kwakuwa wanatupenda na kutujali? They are just capitalizing on our problems to return back. Wakirudi na wakipata njia ya kupata wanayo taka hutosikia tamko tena toka kwaoMeanwhile African Union na hao SADC zimekaza pumbu tu.
Huku sio ni kutuingilia mambo yetu ya ndani ?Bunge la Ulaya limeitaka Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tanzania (INEC) kusitisha kutangaza matokeo ya uchaguzi hadi uchunguzi wa kina ufanyike, kufuatia maandamano na madai ya dosari katika mchakato wa uchaguzi.
Katika taarifa yake, bunge hilo limehimiza jeshi la Tanzania kuchukua nafasi ya kudumisha amani pekee iwapo litaingilia maandamano, na si kushikilia madaraka.
Bunge hilo pia limeunga mkono waandamanaji, likisema maandamano hayo ni ya kupigania haki na uwajibikaji, si vurugu kama inavyodaiwa.
Kauli hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda, kulaani machafuko yanayoendelea na kusema wanashirikiana na vyombo vingine kurejesha utulivu.
Kwa sasa, hali nchini Tanzania bado ni tete, huku baadhi ya maeneo yakiwa chini ya kafyu na mawasiliano yakiripotiwa kukatika.
Bunge la Ulaya limeitaka Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tanzania (INEC) kusitisha kutangaza matokeo ya uchaguzi hadi uchunguzi wa kina ufanyike, kufuatia maandamano na madai ya dosari katika mchakato wa uchaguzi.
Katika taarifa yake, bunge hilo limehimiza jeshi la Tanzania kuchukua nafasi ya kudumisha amani pekee iwapo litaingilia maandamano, na si kushikilia madaraka.
Bunge hilo pia limeunga mkono waandamanaji, likisema maandamano hayo ni ya kupigania haki na uwajibikaji, si vurugu kama inavyodaiwa.
Kauli hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Majeshi, Jenerali Jacob Mkunda, kulaani machafuko yanayoendelea na kusema wanashirikiana na vyombo vingine kurejesha utulivu.
Kwa sasa, hali nchini Tanzania bado ni tete, huku baadhi ya maeneo yakiwa chini ya kafyu na mawasiliano yakiripotiwa kukatika.
Kuingiliwa ni lazima maana serikali ya chama chenu imeruhusu hilo jambo. Ilikataa ushauri hadi mzee wasira akatamka wame test mitambo na mambo yako shwari, kumbe mitambo yenyewe ilikuwa hii ya Gen Z.Thread 'Bunge la Ulaya laitaka Tanzania KUSITISHA Matokeo ya UCHAGUZI' GE2025 - Bunge la Ulaya laitaka Tanzania KUSITISHA Matokeo ya UCHAGUZI
Huku sio ni kutuingilia mambo yetu ya ndani ?
P