Bunge la Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) lapitisha maazimio kumtoa Museveni madarakani muda wowote

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Wabunge wa Bunge la umoja wa ulaya katika mijadala mkali wa kumuondoa Mseven,

Mwasiasa mwingine anayeitwa zhake amepelekwa India Leo baada ya kufanyiwa unyama n.a. sserikal ya Mseven,

Tukio lililopekelea dunia nzima kujua ni kuhusu Robert Kyagulanyi sentamu,

Video

Wabunge wa Bunge la uingereza katika mijadala mkali wa kumuondoa Mseven,

Wala hili si bunge la waingereza mkuu!!
 
Wabunge wa Bunge la uingereza katika mijadala mkali wa kumuondoa Mseven,

Mwasiasa mwingine anayeitwa zhake amepelekwa India Leo baada ya kufanyiwa unyama n.a. sserikal ya Mseven,

Tukio lililopekelea dunia nzima kujua ni kuhusu Robert Kyagulanyi sentamu,

Video

Hii sio Bunge la UK ni majadiliano ya EU Parliament (Bunge la ulaya)
 
Hiyo ndiyo dawa inayowafaa madikteta wote wa dunia hii........

Wameongelea kuhusu kuteswa kwa mbunge Bobi Wine.......

Hivi ukilinganisha tukio lililomtokea Bobi Wine, ukilinganisha na tukio lililomkuta mbunge wetu Tundu Lissu, hili la kwetu la Tundu Lissu ni baya zaidi

Kwa hiyo wasiliache hili siala la Tundu Lissu lipite hivi hivi tu........
 
Back
Top Bottom