Bunge la Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) lapitisha maazimio kumtoa Museveni madarakani muda wowote

akina jingalao na pumbavu lao huwa wanaleta habari za sovereignty ooh hakuna wa kuingilia mambo ya ndani kwa kuwa sijui sisi ni mamlaka kamili n.k

wacha waendelee kuvimba vichwa..
na wewe endelea kusubiri ndugu.....utafika 2020 hiyooo hapo Magu anarudi tena madarakani Museveni anazidi kudunda Uganda..Acheni kurubunika na vitu vya nje/vya wengine wekeni focus kutatua ya ndani kwenu kwa style yenu...

Hivi Bob Wine kupigwa vile hapa Tanzania hakuna aliyewahi kupigwa kama vile!??Mauaji kibao mf.Akwelina n.k yametokea tena zaidi ya Uganda hamfikirii kwanini huko nje hawayazungumzii!??
 
Ndugu yangu yaaani isalimike kujadiliwa DRC,Burundi,Zimbabwe,Sudan ambayo Rais wake bado anakesi na anahitajika ICC mpaka leo hajakamatwa ije kuingiliwa Uganda!?
Wakiamua wanaweza kutumia waasi na wakawapa fedha na zana za kijeshi kimya kimya na wakamuondoa.

Kama kwa kina Gadafi imewezeka hapo Uganda nini kitawashinda?
 
ndugu yangu DRC wametumia waasi wameshindwa kumtoa Kabila, Zimbabwe walishindwa kumtoa Mugabe, Rwanda walishindwa kumtoa Kagame na waweze kumtoa Museveni leo ambaye pia anashirikiana na haohao waasi kujipatia Dhahabu DRC!??

ya Gadafi yalikua ni tofauti kabisa,na lile lilikua vuguvugu la nchi karibia zotee za kaskazini kufanya mapinduzi...
 
Tuna majeshi gani yenye zana gani na fedha gani za kuwashinda hao wakiamua walitakalo?

Nyie vibaraka wa muovu Jiwe hii habari tunajua imewashitua na inawafanya kupata hofu juu ya Jiwe maana hata yeye wanaweza kumkatia hata misaada na mikopo huko mbeleni.
 
na wewe endelea kusubiri ndugu.....utafika 2020 hiyooo hapo Magu anarudi tena madarakani Museveni anazidi kudunda Uganda..Acheni kurubunika na vitu vya nje/vya wengine wekeni focus kutatua ya ndani kwenu kwa style yenu...

Hivi Bob Wine kupigwa vile hapa Tanzania hakuna aliyewahi kupigwa kama vile!??Mauaji kibao mf.Akwelina n.k yametokea tena zaidi ya Uganda hamfikirii kwanini huko nje hawayazungumzii!??
Stay there
 
ndugu yangu DRC wametumia waasi wameshindwa kumtoa Kabila, Zimbabwe walishindwa kumtoa Mugabe, Rwanda walishindwa kumtoa Kagame na waweze kumtoa Museveni leo ambaye pia anashirikiana na haohao waasi kujipatia Dhahabu DRC!??

ya Gadafi yalikua ni tofauti kabisa,na lile lilikua vuguvugu la nchi karibia zotee za kaskazini kufanya mapinduzi...

KWELI KUNA WATU MNAFIKILIA KWAKUTUMIA MAKALIO, YAANI WAWEZE UKRAINE KUMTOA Viktor Yanukovych WASHINDWE KWENYE SHITHOLE LIKE UGANDA NA MSEVEN

United States involvement
In December 2013, GOP Senator John McCain in company with Democratic senator Chris Murphy visited Yatsenyuk and Tyahnybok and later addressed the crowds:

"Ukraine will make Europe better and Europe will make Ukraine better, we are here to support your just cause, the sovereign right of Ukraine to determine its own destiny freely and independently. And the destiny you seek lies in Europe, What we're trying to do is try to bring about a peaceful transition here, that would stop the violence and give the Ukrainian people what they unfortunately have not had, with different revolutions that have taken place – a real society. This is a grassroots revolution here – it's been peaceful except when the government tried to crack down on them, and the government hasn't tried that since. I'm praising their ability and their desire to demonstrate peacefully for change that I think they deserve. These people love the United States of America, they love freedom – and I don't think you could view this as anything other than our traditional support for people who want free and democratic society." [97]
Later, in a leaked recorded phone conversation between Assistant Secretary of State Victoria Nuland and US Ambassador to Ukraine Geoffrey Pyatt, the two U.S. officials are heard discussing their plans to help Ukraine transition to an interim government. Specifically, which roles the prominent opposition leaders should pursue:

Nuland: "I don't think Klitsch (Klitschko) should go into the government. I don't think it's necessary, I don't think it's a good idea."
Pyatt: "Just let him stay out and do his political homework and stuff."
Nuland: "I think Yats (Yatsenyuk) is the guy who's got the economic experience the governing experience. I just think Klitsch going in… he's going to be at that level working for Yatseniuk, it's just not going to work. We want to try to get somebody with an international personality to come out here and help to midwife this thing."[98]
Nuland was also recorded in the same conversation saying, "F... the EU". Dismissively referring to slow-moving European efforts to address political paralysis and a looming fiscal crisis in Ukraine.[99]
 
Hilo ni bunge la ulaya na Ukraine ni ulaya. Mbona Syria Assad wamemshindwa. Au tuanzie hapa kwa Kagame au Nkurunzinza.
 
Uchaguzi wa zanzibar na mkwamo wa kisiasa wa zanzibar itaigharimu pia Tanzania [emoji1241] tu subiri tu.
 
Tuna majeshi gani yenye zana gani na fedha gani za kuwashinda hao wakiamua walitakalo?

Nyie vibaraka wa muovu Jiwe hii habari tunajua imewashitua na inawafanya kupata hofu juu ya Jiwe maana hata yeye wanaweza kumkatia hata misaada na mikopo huko mbeleni.
my friend sakata la Lissu mlisema wazungu wakate misaada,misaada kila siku inakuja, uchaguzi wa Zanzibar mkasema jumuiya za kimataifa zitatutenga jumuiya za kimataifa kila siku tupo nazo na support ya kutosha wanatupa, ni nyie mlisema mnaenda ICJ na kwamba Lowassa atapewa urais wake mpaka leo kimya.... Mnategemea wazungu sanaaa kama mnataka something to change should start with you,sio kuwategemea wazungu wawafanyie.

Na swala unalosema eti wakiamua watakalo,hakuna hiko kitu cha kuamua kuingilia taifa jingine tena taifa lilipiga kura na kumchagua rais aliyepo hapo madarakani, mbaya zaidi hakuna maandamano au viashiria vyovyote inavyoonyesha dalili za serikali kuwa out of control hakuna. Kila ktu kina taratibu zake,kila kitu kina mipaka yake Uganda ni Nchi Huru tena ya Kidemokrasia, hata huyoo Bob Wine amepata nafasi Kidemokrasia ndomana yupo hapo alipo, kwa vigezo kama hivi hao EU hawana mamlaka hata punje ya haradali kumuondoa Museveni madarakani na hawawezi.
 
Back
Top Bottom