Bunge la Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) lapitisha maazimio kumtoa Museveni madarakani muda wowote

Bunge la Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) lapitisha maazimio kumtoa Museveni madarakani muda wowote

Wazungu wanafiki Sana Museveni na Kagame ndio wanaowauzia madini ya copper toka Congo na wao hata hayo madini hawana nchini mwao,hawa watakaa madarakani mpaka siku wao wakiamua kuacha au kufa
 
weka hiyo UN charter inayotoa uhalali wa mataifa binafsi ( not UN petition) kuvamia au kuingilia taifa huru na kuondoa utawala wa kidemokrasia. tuanzie hapo kwanza usipaniki.
Marekani alipopeleka majeshi Iraq , haikuwa nchi huru ,? Unadhani aliongozwa na Nini. Nini kilimpa uhalali.
 
mwanaume na mbo.o yako unalilia wazungu waje? una tofauti gani na mkeo? au wote mnawategemea wazungu waje?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo lugha wasn't necessary. You can do better than this mkuu.
 
M7 akaombe msaada kwa Putin maana hao jamaa wanapotaka kufanya lao hawarembi yatamkuta ya Gaddafi
 
Nateteaje, udikteta upi huo, wa magu? Hivi na ww kwa akili zako zote, kati ya madikteta wote duniani, magufuli unamwona ni mmoja wapo? Sad
Umepagawa.

Mimi ninamzungumzia Museven.

Wewe unachachawa kumtetea Magufuli.
 
Maboya wanashangilia kuona wazungu wanataka kuingilia uganda,lengo la wazungu sio zuri ni kutaka kuvunja east africa c... Endeleeni kushangilia na kujipendekeza kwa wazungu,mtaikimbia uganda ngojeni
 
Hawa wazungu kuna jambo wanalitafuta Africa ya Mashariki. " Destabilization of East Africa". Ndugu zangu tuwe makini sana tena sana.
Watu kama nyie ni wachache sana,wengi ni mbulula hawaelewi wanashangilia,waganda be care u will cry an answered cry
 
Wazungu wakiamuaga kitu! Wakishupalia hawawezi kushindwa. Yuko wapi Muammar Gaddafi. Kanali.???
U also supporting whites to take over uganda? Kulia lia kama watoto mbele za wazungu?ndo maana tunadharaulika,ok waganda waunge mkono kuja kwa hao whites to take over,watachukua mafta na kuwaacha wakivurugana kama libya,these whites are scrambling to strenghen their nations and not otherwise
 
Na huo ni mkwala tu m7 alishazinguliwagwa tokea zamani lkn hakuna hata walichomfanya
 
Mi nawalaumu sana Umoja wa Africa maana mpaka leo hamna kitu wamefanya kutetea huu uovu.


Pia, wabunge wa EU wanatoa wapi mamlaka ya kuichagulia afrika viongozi , nakubali M7 ni dikteta lakini hili ni suala linaweza kushughulikiwa vyema kabisa na EAC, AU kupitia mikataba mbalimbali tuliyosaini.

Napinga kabisa EU kutuingilia, viongozi wote africa inabidi wasimame maana leo hii wakimtoa huyo M7 dikteta tuna uhakika gani hatakuja mtu wa kuangalia masilahi yao
 
Back
Top Bottom