Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Marekani alipopeleka majeshi Iraq , haikuwa nchi huru ,? Unadhani aliongozwa na Nini. Nini kilimpa uhalali.weka hiyo UN charter inayotoa uhalali wa mataifa binafsi ( not UN petition) kuvamia au kuingilia taifa huru na kuondoa utawala wa kidemokrasia. tuanzie hapo kwanza usipaniki.
Nateteaje, udikteta upi huo, wa magu? Hivi na ww kwa akili zako zote, kati ya madikteta wote duniani, magufuli unamwona ni mmoja wapo? SadKwanini unatetea udikteta, ndugu?
Hiyo lugha wasn't necessary. You can do better than this mkuu.mwanaume na mbo.o yako unalilia wazungu waje? una tofauti gani na mkeo? au wote mnawategemea wazungu waje?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina tofauti na wewe usie na slavery mentality lakini u ar a slaveKweli sitakuelewa kwa kuwa una slavery mentality!
Umepagawa.Nateteaje, udikteta upi huo, wa magu? Hivi na ww kwa akili zako zote, kati ya madikteta wote duniani, magufuli unamwona ni mmoja wapo? Sad
Y'all can so better tooHiyo lugha wasn't necessary. You can do better than this mkuu.
Elaborate!heheheheh hawawezi hawatoweza.....hawana hiyoo nguvu,nchi huru kama uganda haiingiliwi kizembe hivyoo...
Watu kama nyie ni wachache sana,wengi ni mbulula hawaelewi wanashangilia,waganda be care u will cry an answered cryHawa wazungu kuna jambo wanalitafuta Africa ya Mashariki. " Destabilization of East Africa". Ndugu zangu tuwe makini sana tena sana.
Sky u think will whites help ugandan people? U guys be serious,they are after profit,kuna mafuta uganda,just waitLakini hawakumtuma M7 ampige Bob Wine
U also supporting whites to take over uganda? Kulia lia kama watoto mbele za wazungu?ndo maana tunadharaulika,ok waganda waunge mkono kuja kwa hao whites to take over,watachukua mafta na kuwaacha wakivurugana kama libya,these whites are scrambling to strenghen their nations and not otherwiseWazungu wakiamuaga kitu! Wakishupalia hawawezi kushindwa. Yuko wapi Muammar Gaddafi. Kanali.???
Tusubiri tuone.Itatuletea maendeleo tunayoyakusudia ?!