DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,130
Unamkumbuka Momary Gaddafi na kilichomkuta?? Viongozi miungu watu kama Museven na Jiwe tusiwape kichwa hawapaswi kufumbiwa macho kwa wanayoyafanya kwa raia wao!heheheheh hawawezi hawatoweza.....hawana hiyoo nguvu,nchi huru kama uganda haiingiliwi kizembe hivyoo...
Wewe ulikua hai/mzima 2011 ?heheheheh hawawezi hawatoweza.....hawana hiyoo nguvu,nchi huru kama uganda haiingiliwi kizembe hivyoo...
Si sawa kuingilia nchi nyingine Ila ukiongelea nguvu ya kuingilia wanayo, sema kuna mikataba inayolinda lakini nguvu ipo. Mfano kuna sheria zinazozuia wanajeshi/polisi kutumia nguvu kwa raia wa kawaida, nguvu wanazo wakiamua kuvunja sheria wanavunja na kudhuru raia lakini wanazifuata. Kutii sheria haimaanishi huwezi kuzivunja. Mikataba ni makaratasi tu, ndo maaana historia inaonyesha kulishawahi kuwa na vita na ukoloni huko nyuma. Wenye nguvu walitawala. Nadhani hili lilitokea Libya, mikataba ilivunjwa Libya ikaingia kwenye vita kiongozi akatolewa.Wanamamlaka gani inayowapa nguvu kuingilia nchi nyingine kinguvu!??grounds zipi!??mkataba upi huo unaoruhusu kuingilia nchi nyingine!?
East Africa you seem to destabilise yourselves if you bribe the opposition mp's to resign so you can redo the election and steal the votes what do you expect?? You think people will tolerate forever??Hawa wazungu kuna jambo wanalitafuta Africa ya Mashariki. " Destabilization of East Africa". Ndugu zangu tuwe makini sana tena sana.