Leo palikuwa na Bunge la wananchi lililoendeshwa na Mwenyekiti wa CDM Freeman Aikaeli Mbowe Kigoma na kikao kingine kiliendeshwa na Waziri mkuu Kassim Majaliwa kukusanya kero za wananchi katika masuala ya kodi.
Hadi tunakwenda mitamboni, kikao Cha wananchi pale Bandari salama kilikuwa kinaongoza 2-1.
KATIBA mpya inaandikwa Kwa Wino wa Dhahabu,
Hatimaye wananchi wameweza kuungana kupinga ukandamizi wa mifumo mbalimbali inayodumaza Uchumi wa mtu mmoja mmoja na Nchi Kwa ujumla.
Mungu wa Mbinguni awabariki.
Amen